Ningekuwa mbunge wa Ileje, Janeth Mbene mbele ya Rais Magufuli ningezungumza haya

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Jul 17, 2019
322
645
Na Elius Ndabila
0768239284

Moja ya habari kubwa ambayo leo inatembea kwenye mitandao mingi ya kijamii ni ya Mh Rais kutupilia mbali ombi la Mbunge wa Ileje Mh Mbene. Mh Mbnge alisimama mbele ya Rais na kuzungumza kuwa DED wa Ileje ndugu Haji Mnasi anakwamisha maendeleo wilayani Ileje. Mh Mbunge ukimsikiliza hotuba yake kwa makini utagudua kuwa alifanya kosa kubwa la kiufundi.

Makala yangu hii itakuwa imesimama katika misingi ya uhakiki na uchambuzi wa kazi ya fasihi. Ifahamike kuwa hotubaya Mbunge ilikuwa ni fasihi na alitumia fasihi simulizi ambayo ilijawa na ufundi mkubwa wa uwasilishwaji lakini ikakosa radha ya viamba jengo. Ninaomba uchambuzi na uhakiki usimame kama mchambuzi huru, na usihusishwe na ukaribu wangu na Mh Mbene. Kabla ya uhakiki na uchambuzi ninaomba niseme nini ningesema ningekuwa ni Mbunge wa Ileje mbele ya JPM.

Mh Rais ninaomba nichukue nafasi hii kukushukuru wewe binafsi kwa kutenga muda wako na kujaku fanya ziara mkoani Songwe. Kwa niaba ya wananchi wa Ileje ninakushukuru sana na ninakukakribisha sana mkoani kwetu. Mh Rais ninakushukuru sana kwa kuja kuweka jiwe la msingi katika barabara hii. Tunaamini ujio wako wa uwekaji wa jiwe hili la msingi utachochea kasi yajenzi wa barabara hii ambayo ilitakiwa imalizike mwezi wa nane. Barabara hii kwetu Wanaileje itafungua furusa nyingi za kiuchumi ambazo zilikwama kwa sababu ya miundombinu hasa ukizingatia Ileje ni wakulima wakubwa wa mazao ya chakula na biashara. Mh Rais baada ya barabara hii kuisha tunakuomba uzitazame barabara zingine za Ileje ambazo nazo zinapitika kwa shida sana wakati wa mvua, hasa barabara za Kasumulu Isongole, Mbalizi Ibaba na KKK Isoko.

Mh Rais barabara hii ambayo ninaamini itafungua biashara kubwa kati ya Malawi na Tanzania kwa upande wa Ileje, basi inatukumbusha kuwa sasa ni muda mwafaka wa kujenga kituo cha forodha Isongole. Mh Rais unafanya kazi kubwa ninaamini na hili utalichukua kwa masilahi ya Taifa na uchumi wan chi yetu.

Mh Rais kwa niaba ya wananchi hawa wa Ileje ambao walikuwa wamesahaulika kwa muda mrefu, ninaomba nikushukuru kwani kwa kipindi chako hiki cha miaka mine tunashuhudia mapinduzi makubwa ya kimaendeleo katika Wilaya yetu. Upande wa afya pamoja na zahanati zilizojengwani zinazoendeleakujengwa, lakini Umetusaidia kujenga kituo cha afya Lubanda. Serikali yako ilitupatia zaidi ya milioni miatano /500,000,000/= kwa ujenzi wa kituo hiki ambapo pia wananchi walijitolea nguvu kazi. Kituo hikini cha kisasa na Mh Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alifika na walitupatia na gari. Lakini pia serikali yako ilitoa zaidi ya milioni mianne, /400,000,000/= kwa ajili ya uboreshaji wa kituo cha afya cha Ibaba. Sasa kituo cha afya Ibaba chini ya uongozi wako kimeboreshwa na kujengwa majengo ya kisasa. Mh Rais leo ungepata furusa ya kufika Ileje hospital ya wilaya imejengwa vizuri tena kwa majengo ya gholofa. Ukifika pale utadhani ni hospital ya mkoa. Ni serikali yako ambayo mwaka huu ilitupatia billion 1.5 kwa uboreshwaji wa hosipali hii.

Mh Rais muda wangu ni mchache, ninaomba niongezee dakika moja tu ili niweze kumalizia. Mh upande wa elimu tumeendelea kuboresha miundombinu kutokana na fedha ambazo umekuwa ukitupatia. Si hivyo tu kutokana sera ya elimu bure nasi Ileje tunanufaika na mgao unaotokana na fedha zaidi ya bilioni 23.7 inayotengwa kila mwezi kwa ajili ya elimu. Mh swala la maji ilije lilikuwa shida kubwa, lakini sasa kulikuwa na upanuzi wa mradi wa maji wa Itumba Isongole na tenki la lita laki tano limejengwa na mradi unafanya kazi. Hii imepunguza adhaa ya maji.

Mh kabla ya uongozi wako Ileje kati ya kata 18 zilizopo ni kata nne tu zilikuwa zinapitiwa na umeme, lakini ninafurahi kukwambia sasa kata zote 18 zinaumeme. Nakati ya viiji 71 vilivyopo ni vijiji 20 hadi sasa havina umeme navyo vipo kwenye mpangokwenye mwaka huu wa fedha.

Mh Rais yapo mengi ya kukushukuru lakini muda hautoshi na huu mkutano ni wa kwako. Lakini mwisho nikuombe Mh Rais kwa niaba ya wananchi wangu wa Ileje ni kuombe tena mara bajeti itakaporuhusu basi utusaidie kutuongezea barabara ambayo ndiyo chachu ya maendeleo na swala la majikwenye kata nyingi bado si maji salama. Mwisho kabisa nikushukuru kwa timu yako inayokusaidia Ileje kuanzia viongozi wa Chama, DC, DED na watumishi wengine tunafanya nao kazi nzuri na kwa ushirikiano mkubwa. Pamoja na mimikutokuwa jimboni lakini kazi zote zinaenda vizuri na huwa tunawasiliana.

Ningekuwa Mbunge ningemaliza hivyo. Lakini hii ni hotuba ya Wabunge SMART na usipokuwa SMART basi ndo utapata majanga.

Sasa kosa la Mh Mbene Mbunge wa Ileje llikuwa nikosa la kiufundi kwa kuwa anazungukwa na non Smart person. Anazungukwa na watu wa majungu majungu. Anazungukwana wakata upepo ambao wanajua wakimjaza ujinga basi ni rahisi kupokea M-pesa. Ndiyo shida ya wabunge wengi wasiyo SMART. Wanapenda kuwasikiliza watu wambea wambea na wanaowajaza ujinga. Mbene si smart kwenye siasa, yeye ni mtendaji/ mtaalamu. Hivyo kwenye siasa anashindwa kutofautisha kati ya moto na majivu kama ilivyo ngumu kutofautisha kati ya tui la nazi na maziwa.

Hivi unadhani angeweza kutoa hotuba nzuri mtu ambaye kati ya miaka minne amekaa jimboni siku 43? Angetoawapi ya kuzungumza kama si kuchukua maneno na kulishwa? Leo ni jaribio lake la tatu kama si l nne kutaka Mnasi aondoke.Sijui Wakurugenzi wanamkosea nini. Kwa Wanaileje SMART JPM angewasimamisha mbele Mbunge na Mnasi ninauhakika watu wangesema Mbunge aondoke na Rais na si MNASI. Mnasi yupo vijijini kila kuchapo, yeye yupo Masaki anawasikiliza akina……..wanaompotosha.

Mh Rais ana vyombo vingi,ndiyo maana alimwambia anaijua Ileje vizuri. Rais anataarifa nyingi kuliko mtu yeyote. Kuonea watu, kuwanenea uongo, kuwazushia ni dhambi. Inasikitisha tunaenda kila siku makanisani lakini tunakuwa na roho za kuwaharibia engine. DINI ZETU HAZIRUHUSU UZUSHI NA UONGO.

MWISHO; Ninakushukuru mh Rais kwa ziara yako iliyotoa matumaini mapya kwa mkoa wetu wa Songwe. Na niwapongeze viongozi wote wa mkoa, wilaya na kata ambao wanafanya kazi kubwa kufikia maendeleo makubwa uliyoyaona SONGWE.
 
Nimesoma hotuba yako, jamaa uko fresh sana. Hongera na kila la heri kwenye Safari yako ya kiuongozi na kisiasa kama utaamua kuelekea uelekeo huo.
 
Uulikuwa
 
Looh, katika kipindi cha miaka minne (siku 1,460) akiwa mbunge wa Ileje, bibi Janeth Mbenne kaka siku 43 tu saws na 3% muda mwingine wote Yuki Masaki. Hii ni hatari sana kwa maendeleo ya jumbo la Ileje. Je mwaka 2020 atawaambia nini wana Ileje na chama chake???

Back
Top Bottom