Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,284
Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu.

Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel Jesus.

Kiungo angekaa Casemiro pamoja na Guimares na ukuta ungekuwa na Silva, Marquinhos, Militao na Sandro huku golini akiwepo Alisson.

Kwenye akiba ningekuwa na Ederson, Weverton, Bremer, Danilo, Telles, Fabinho, Rodrygo, Dani Alves na ningeongeza vijana kadhaa wa kule ligi ya Brazil.

Ningecheza 4-3-3 na kubeba kombe asubuhi na mapema.
 
Hivi Neyma ni shoga? Au hii timu ya Brazil iliyocheza na Crotia ilikuwa na gay wangapi? Maana ukiwaona walivyokuwa hawaoneshi uanaume wangecheza na Uholanzi wangezimia
 
Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu.

Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel Jesus.

Kiungo angekaa Casemiro pamoja na Guimares na ukuta ungekuwa na Silva, Marquinhos, Militao na Sandro huku golini akiwepo Alisson.

Kwenye akiba ningekuwa na Ederson, Weverton, Bremer, Danilo, Telles, Fabinho, Rodrygo, Dani Alves na ningeongeza vijana kadhaa wa kule ligi ya Brazil.

Ningecheza 4-3-3 na kubeba kombe asubuhi na mapema.
Wabongo kwa ujuaji! kafundishe taifa stars basi tuone hayo unayosema
 
Kosa mlilofanya ni kuiunderate mno Crotia yaani mnadhani Crotia ni team ndogo sana. Wazee mnakosea mno. Hata kibanda umiza niliwashangaa sana watu.
Kuna yule beki alikuwa na mask aisee yule jamaa kitasa sana kazikazi.
 
Yule beki ni ni Zaidi ya Swazneger, ni Stirling hatari sana, Croatia , sio timu ndogo hata kidogo. Wanacoordnation hatari sana, Hili kombe ni timu mbili znaweza beba wao Croatia na Ufaransa basi.
 
Huyo beki sio Vida kweli.?

Croatia wale jamaa ni wapambanaji kweli, kwanza wana Midfield na Backline nzuri, udhaifu wao uko kwenye frontline tuu.
 
Kosa mlilofanya ni kuiunderate mno Crotia yaani mnadhani Crotia ni team ndogo sana. Wazee mnakosea mno. Hata kibanda umiza niliwashangaa sana watu.
Kuna yule beki alikuwa na mask aisee yule jamaa kitasa sana kazikazi.
Brazil niliwawekea huu uzi wakajifanya wajuaji.

Yule beki ni ni Zaidi ya Swazneger, ni Stirling hatari sana, Croatia , sio timu ndogo hata kidogo. Wanacoordnation hatari sana, Hili kombe ni timu mbili znaweza beba wao Croatia na Ufaransa basi.
Yule beki ni mzuri sana ila ubingwa kwa mwaka huu anabeba Argentina. Mechi ya Croatia na Argentina itakuwa nzuri sana.
 
Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu.

Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel Jesus.

Kiungo angekaa Casemiro pamoja na Guimares na ukuta ungekuwa na Silva, Marquinhos, Militao na Sandro huku golini akiwepo Alisson.

Kwenye akiba ningekuwa na Ederson, Weverton, Bremer, Danilo, Telles, Fabinho, Rodrygo, Dani Alves na ningeongeza vijana kadhaa wa kule ligi ya Brazil.

Ningecheza 4-3-3 na kubeba kombe asubuhi na mapema.
Kweli kabisa.
 
Yule beki ni ni Zaidi ya Swazneger, ni Stirling hatari sana, Croatia , sio timu ndogo hata kidogo. Wanacoordnation hatari sana, Hili kombe ni timu mbili znaweza beba wao Croatia na Ufaransa basi.
Nahisi Croatia huwa haina nyota ya kufuatiliwa na kuwa maskioni mwa mashabiki wa soka Duniani.

Ila kiuhalisia , Croatia huwa inafanya vizuri katika mashindano makubwa mfano kombe la Dunia na Euro. Hivi mnakumbuka mwaka 1998 Croatia alishika nafasi ya tatu World Cup, wakiwa na wakali wao kina Davo Suka!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom