Ningekuwa Katika Nafasi ya JK Ningeangalia Ivory Coast, Tunisia, Egypt…Moto Unawaka.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa Katika Nafasi ya JK Ningeangalia Ivory Coast, Tunisia, Egypt…Moto Unawaka..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 26, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  a. Ningekuwa Nimeona Jinsi Gani Wananchi Hawapendi Serikali ya CCM, Sera zake na Zaidi Rushwa na Ufisadi Mbaya Tuliouleta. Ningeona Mapinduzi Yana Karibia na Kujaribu Kuhepusha Janga Kubwa…
  b. Ninge Mualika Dr Slaa, Chadema na Kuunda Serikali ya Muda…
  c. Ningeshirikiana na Dr Slaa Kuandaa “Kamati ya Katiba” kwa Pamoja …
  d. Ningeshirikiana na Dr Slaa Kuandaa “Uchaguzi wa Uraisi na Wabunge” kwa kutumia Tume Mpya ya Uchaguzi…
  Lengo Kubwa ni Kuunda “Katiba Mpya na Nchi Mpya.” Kuondokana na Loop Holes Zote Zinazosababisha Wananchi Kuibiwa na Viongozi wa Chama Kimoja (CCM) Kufanya Ujangiri kwa Wananchi Wao. Taifa ni letu sote na Hakuna Mwananchi yeyote au Familia Yeyote ambayo haiumii kutokana na majanga tuliyaona kwa miaka 50. Umaskini umeendelea na Viongozi peke yao wananufaika kwa kuibia nchi yao kwa kusaini mikataba ya uongo kama Dowans. Elimu, Afya, Ajira na Uchumi Vyote vimekuwa vitu visivyo na Umuhimu tena kwa Viongozi (CCM)wa Taifa Letu. Chaguzi zote zimekuwa ni za kuiba kura na sio demokrasia ya kweli…Tunahitaji JK Usikie kama unasikia au usome jamii fórum au washahuri wako wapitie jamii kupata ushahuri…

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  "People Always Win"
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  Sikio la kufa hilo!!!!!!Ila ukweli siku za mafisadi kutawala zinahesabika popote pale, hili wimbi halitamponya JK na chama chake cha mifisadi.
   
 3. c

  chelenje JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipate kahawa kwanza, nitarudi kuchangia....
   
 4. k

  kayumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watawala wa AFRICA kwa sasa kazi wanayo!
   
Loading...