Ningekuwa Katibu Mkuu CHADEMA ningemfukuza kazi Tumaini Makene

Hii hali inayojitokeza shughuli ya Mbagala kama ningekuwa katibu mkuu ambaye in mwajiri wa Makene ningemfukuza kazi kwa kutowajibika.
Hivi kwa nini Chadema media wameshindwa kuwa Live siku muhimu kama Leo?
TBC ni mali ya watanzania inalazimika kuwahudumia watanzania wakati inapohitajika na si kuvuruga mkutano ya vyama.
 
Ule mradi wa chadema digital ilikuwa ni upigaji tu, yaani mitandao yote ina option ya live, Facebook,Tweeter, YouTube, aibu kubwa kabisa na upumbavu wa hali ya juu
 
Kizazi cha 90 na hadi hii leo UMEBWETEKA!!!?

CCM na wapinzani wa nchi hii Wote Mnazinguaa sana.

Ngoja nikae na imani Yangu..na Mipango Yangu.

Hili Taifa litakombolewa Toka kwa Madhalimu CCM na kizazi Chetu Cha 90's...Hapo Baadaye
 
Je, kama ameomba pesa za kuandaa matangazo live na hajapewa? Tusikimbilie kulaumu individuals. Wakati mwingine viongozi wana vipaumbele vyao tofauti na mahitaji ya idara tofauti tofauti.
 
Hili la kuwafukuza TBC sijali penda
Ni kukosa ustaarabu
Siwalisema ukipigwa Kofi shavu moja wewe piga hotel mawili, tbc msiwaonyeshe mwanzo mwisho mbwai na iwe mbwai, isitoshe hawawalipi mshahara Bora mumwonyeshe Hashim rungwe
 
Mbowe kakusanya bilioni 8 ameshindwa kunnunua hata online tv! ameshindwa hata na le mutuz! bilioni 8 kaipeleka wapi?
 
Unajua madhara waliyokuwa wanayafanya katika kukatisha ujumbe na kuweka wakwao?
Mkutano wa Chadema sio mpira wa miguu unao mtaka mwl Kashasha
Unaachaje kukatisha wakati watu wanaropoka upuuzi? Badala wamwage sera wana attack watu binafsi.
 
Kizazi cha 90 na hadi hii leo UMEBWETEKA!!!?
Walau Ungeuliza hata Haya,Ningekuona Mtu Makini:-

Kwanini Unafikiri/unadhani au kipi kinakupa Hitimisho la kuwa Upinzani Umeshindwa Kuiindoa Ccm Madarakani Iwe kwa sanduku la kura au Vinginevyo?

Upinzani Tanzania Unakwama Wapi,Yapi Mapufungu yao Makubwa?

Tafiti/Maono gani imekufanya Kuweka kizazi cha 90s Kwamba chaweza kuindoa Ccm Madarakani Na sivizazi vingine..??

Ni mipango ipi au Mikakati ipi Umeweka/unaweka/Mtaweka kuhusu Kuondolowa Kwa Ccm Madarakani?

Badala yake Umekuja na sentensi Yenye kebehi na dharau ya reja reja..

Kubwa Kiliko hunifahamu wala Mimi sikuhafamu,Hivyo Hatufahamiani.

Shida nini Bwana Mkubwa...?

Au Wataka vita na Mimi...??
 
Hii hali inayojitokeza shughuli ya Mbagala, kama ningekuwa katibu mkuu ambaye ni mwajiri wa Makene ningemfukuza kazi kwa kutowajibika.

Hivi kwa nini Chadema media wameshindwa kuwa Live siku muhimu kama leo?
Labda Kuna sababu mkuu usihukumu kabla
 
CCM na wapinzani wa nchi hii Wote Mnazinguaa sana.

Ngoja nikae na imani Yangu..na Mipango Yangu.

Hili Taifa litakombolewa Toka kwa Madhalimu CCM na kizazi Chetu Cha 90's...Hapo Baadaye
Asante kaka.. "Hata mimi naungana na ww aisee"
 
Kashindwa kutengeneza picha za mafuriko,mmeanzia mguu wa kushoto
Hii hali inayojitokeza shughuli ya Mbagala, kama ningekuwa katibu mkuu ambaye ni mwajiri wa Makene ningemfukuza kazi kwa kutowajibika.

Hivi kwa nini Chadema media wameshindwa kuwa Live siku muhimu kama leo?
 
Back
Top Bottom