Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.

Paragraph ya nne umeandika vema sana “hakika wasingemtupa maana watoto wake ni wao”
Akili alizotumia jak ni zakimafia sana sijui alijua sheria zimelala
 
yaani hakutumia akili kabisa, huwezi ukaishi na mtu kwa miaka mitano, unataka urithi vyote alivyotafuta maiaka 50 iliyopita alafu ana watoto wakubwa sasa lazima pangechimbika

jaqy ilibidi ambane mzee mapema amuwekezee mabilioni yake kimya kimya vingine atulie ndugu aibu ingewashika tu, lakini ule wosie umetibua nyuki kwenye mzinga na umeonyesha sura ya jaqy kuwa ana tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Na roho mbaya sana sijui mrwanda yule
 
mkuu ushauri wako ni mzuri lakn hio haiondoi ukweli kwamba familia nyingi za kiafrika ni wapumbavu au wajinga wajinga!......


ukiangalia pale watoto wale wengine wakubwa kabisa kuliko hata Jack, then watoto waliobaki ni hawa mapacha!..... kuna ulazima gani wao kugombea mali?


ule wosia mimi nilivousoma sioni kama kuna baya lolote zaidi ya mwenyewe mengi kutaka watoto wake makinda wapate pakubwa (rightly so), hata ningekua mimi ningeweza kufanya vile vile!......


kinachoonekana hapa ni wivu na aina nyingine ya mambo ya kiswahili......... nilichojifunza mimi hapa kwa sisi wanaume ni kuwa na account nyingi za siri ambao hawa ndugu na watoto wakubwa hawazijui........

Wosia ule ugeshirikisha ndugu either kaka ama mdogo wa marehemu af jak wala asingekuwepo kikaoni apo mzee mawazo yake yangejeshimika na jak angekula kwa ubua “kifo cha maskini mambo uwa shwari ile wenye pesa ..... rip tx moshi willium
 
Wosia ule ugeshirikisha ndugu either kaka ama mdogo wa marehemu af jak wala asingekuwepo kikaoni apo mzee mawazo yake yangejeshimika na jak angekula kwa ubua “kifo cha maskini mambo uwa shwari ile wenye pesa ..... rip tx moshi willium
Hata angeshirikisha ndugu bado liko tatizo. Si mali zote ni za mengi. Kuna za mke mkubwa. Kuna za familia sijui ukoo etc. Bado isingempa uhalali wa kurithi zote. Still.angepata anachostahili tu na basi
 
Huu ushauri ni mzuri sana.

Hakikisha ndugu zako wa kike wote wanapata nakala moja moja ya huu ushauri
Nimecheka sana 😅😅😅😅😅😅😅😅😊😅😅😅😂😂😂😂😂 nakala moja kwa dada tafadhali
 
Unamfundisha jinsi gani angedanga kwa weredi😂😂
Hahaha jamaa uliwazaga nini humu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅😅😅
 
Masikini tuna tabu sana, Mengi mali zake katafuta kwa jasho lake, kaamua kuwaachia watoto wake aliowapenda sana mapacha mali zake. kuna mipumbavu roho zinawauma kama mali ni zao, kama mnawapenda hao watoto wakubwa wa mengi wapeni mali zenu. mali za Mengi kaamua kuwapa mapacha
Ushauri wako na yanayoendelea sasa
 
Duh yaani kimeumana mbaya kabisa. Ila busara ingetumika kidogo kwa huyo bi mzuri 'if you can't fight them join them' kila la kheri sie yetu macho tu.
 
Back
Top Bottom