Ningekua Raisi wa hii nchi ningekua dictator.

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
hata hivyo sio ule udictator kama wa akina musolin na hitler na id amin hapana.
ni kama ule wa akina fidel castro na wa akina mao tsetang.
boniviolent dictatroship.
huu huzingatia masllah ya nchi kabla ya maslah mengine yoyote.
sababu za kusema hivi:
1. Ni kwa kua ninaipenda sana hii nchi
2.Bado hatuna tafsiri nzuri ya demokrasia na kwa wale wachache wenye nayo
wamememzwa na wale weeengi wasio nayo. mfano badala ya mtu kutumia vizuri uhuru wake kwa kutambua
kua kuamka asubuhi na mapema na kwenda shambani kuila ni jukuimu analotakiwa kulitimiza bila kushinikizwa,
yeye anatumia uhuru huo kutokwenda kabisa shamba kwa kua hakuna mtu atakemuuliza(si yuko huru)!! udicteta hhuu utaniruhusu kuwafanyisha kazi kwa lazima watu ila kwa ajili ya manufaa yao wenyewe.
3.Demokrasia inatumika vibaya katika kufanya maamuzi mengi. mfano bungeni, kwa sasa suala kama la posho
za sitin alawans sio kitu cha kujadili. ni kitu anbacho kipo wazi kua kikiachwa kina tija kwa watanzania 45milioni na
sio sasa watanzania 350tu. lakinio kwa sababu ya demokrasia tunajadili na kwa kua wale wbnafsi wapo wengi wenawashinda wale wazalendo sio kwa hoja hodar bali kwa wingi wakura zao. hivyohivyo katika maamuzi mazito zaidi kama kufutia wawekezaji kodi, rushwa, n.k
udicteta huu utaniwezesha kufanya maamuzi ambayo ni sahihi na ya manufaa kwa wananchi wote hata kama viongozi baadhi au wawakilishi baadhi wanapinga.
4.Pamoja na kua huu ni udicteta lakini bado hutoa nafasi ya ushauri, hivyo nitapoke ushauri toka kwa wasidizi wangu ilatu maamuzi nitafanya/tutafanya wachache sana ila ambayo yatalenga maslah ya nchi daima.
5. Nitaweza kuwawajibisha wala rushwa na mafisadi wote kwa sababu nitaweza kutoa amri yoyote yeye kulenga maslah ya nchi pasipo kujali kua naingilia uhuru wa mahakama, chama, serikali n.k.
Hizi ni baadhi tu zipo nyingi.
Cha msingi mtu yeyote atakae kua dicteta namwomba awe boniviolent tafadhali.


3.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom