ningekua RAISI ningeuza nchi kwa sahani ya chipsi kuku! au jero tu!

Dec 3, 2011
55
9
yan nimekubuhu kwa ufisadi! amini usiamini siko peke yangu! juzi kati kuna lecturer ametuuzia maksi tano kwa shilingi elfu nane(8000) tu! inapendeza aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom