Ninge penda kujua kuwa kweli condom ina zuia ukimwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninge penda kujua kuwa kweli condom ina zuia ukimwi?

Discussion in 'JF Doctor' started by Justin Dimee, May 10, 2012.

 1. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Huwa tuna shauriwa sana na watu mbali mbali napia ni vizuri pia kutambua umuhimu wa condom kuwa ni kweli ina zuia ma ambukizi ya (v.v.u) ninge penda ni jue kama kweli au sikweli
  kuna ubishi hapa ulikuwa unaendelea na marafiki zangu nimeona nami nije kuwa uliza humu jamvini kwa sababu mjadala ume isha kila mtu ana amini ki vyake vp na humu jf mna semaje? wana jamii.
   
 2. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Mmh ina maana iipost hamja iona au ndo vile kuzarau post za wengine mmh haya bana haina shda.
   
 3. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu kondom ina uwezo wa kuzuia mimba kama ikitumiwa vizuri. 7bu ukitazama katika vyombo vya kimaabara,yaani darubini kama telescope au microscope inayokuza moja kwa kumi au kumi kwa mia,inaonyesha kwamba kondom ina matundu yenye ukubwa wa 0.08 mbegu ya kiume ina ukubwa wa 0.12 hivyo mbegu ya kiume ina ukubwa zaidi kuliko tundu la kondom hivyo haitapenya kwa hivyo uwezekano wa kupata mimba ni mdogo.

  lakini,kondom si kinga ya ukimwi hata kwa dakika.7bu virus wa ukimwi mmoja ana ukubwa wa 0.03. Hivyo katika tundu la kondom lenye ukubwa wa 0.08 anapita. Na mkewe naye mwenye ukubwa huohuo jumla wanakuwa na ukubwa wa 0.06 na mtoto wao mgongoni mwenye ukubwa wa 0.02 jumla wanakuwa 0.08 hivyo huwafanya kupita kwa urahisi zaidi bila tabu yoyote wanaenda kuleana mbele ya safari na kuzaliana kwa wingi.

  kwa nyongeza tu; kihistoria kwamba kondom ilikuwepo tokea vita kuu ya pili ya dunia. Na hii inatengenezwa na plastic laini na pia kondom ina mafuta kwa nje ambayo kitaalam yanaitwa jojoba oil sex. Ambayo mafuta hayo yanapogonga au yanapoingia au yanapogusa kuta za uke ynabakia. Hivyo inapotumika muda mrefu inatengeneza ngozi ngumu ktika uke kutokana na mafuta.

  kitendo hicho kitapelekea mwanamke kukosa stimulation yaani msisimko,7bu hadi aanze kupata raha ya tendo,inabidi uipashe moto ile ngozi na mpaka ikipashika, mwanaume tayari utakuwa umeshapiga goli zaidi ya moja. Hivyo wakati mwenzi wako anaanza kujisikia wewe unakuwa umeshachoka,hivyo kukuona hufai lakini chanzo ni nini? Jibu ni kondom. Pia kondom kwa baadhi ya wanawake inawasababishia fangus yaani ugonjwa wa kuwashwa ukeni.
   
 4. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,021
  Likes Received: 2,633
  Trophy Points: 280
  Acha kupotosha watu,kama jambo huna uhakika nalo una haja gani ya kupost kitu kinachoweza kufanya baadhi ya watu wenye uelewa mdogo kuamini kuwa unalolisema lina ukweli!
   
 5. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Kondom zilianza kutumiwa tangu miaka ya 1800 huko Ulaya, zilitumika kuzuia mimba, hususani na makahaba. UKIMWI ulipogundulika, zikatumiwa ili kupunguza msuguano. Kwa sasa kuna baadhi ya kondom zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa mfamo Familia, ila nyingi hazizuii kitu kabisa, mfano Salama. USIAMINI KONDOMU, NYINGI ZIPO KIBIASHARA ZAIDI....
  Saluhu: a) acha ngono & (b) kuwa mwaminifu
   
 6. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tena kila ugonjwa, na kila
  pigo yasiyoandikwa katika
  kitabu cha torati hii, atakutia
  nayo Bwana juu yako, hata
  utakapokwisha kuangamizwa.
  Kumbukumbu 28:61
   
 7. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Ndio inaweza ila kama ikitumiwa vizuri,msisitizo upo kwenye kutumia vizuri pia kibongobongo angalia brand,originality etc
   
 8. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  wewe ukweli unaoujua ni upi?? Usiponde tu na kusepa,toa argument zako!
   
 9. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Du watu wanatafuta justification ya kutotumia kondom!
   
 10. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa si useme ukweli wako mkuu huu ni mjadala lete hoja zako basi!
   
Loading...