Ninge mshauri hivi dr w.slaa alipokutana na rais kikwete

shukuru bon

Member
Oct 2, 2011
15
1
1)Ange muuliza,mh Rais,una kili kwamba uchaguzi uliopita ulichakaluliwa na tume ya uchaguzi?na kama ulichakachuliwa mbona
ina sadikika hata hao ulio wateuwa wana ma skendo kibao?

2}Je kwanini aliusaini muswada wa uandaaji katiba mpya?ili hali wadau wengi bado walikuwa na duku duku juu ya hili?
ana wahakikishia nini wananchi.NAWAKILISHA
 
\
Duh !!! Karibu jamvini naona bado hujaweka miguu chini jitahidi utazoea tu
 
JK ataishia kumtabasamia na kumjibu hata kama katiba ikibadilika mgombea wa ccm ajaye ndo atashindwa kuchakachua, mimi ntakuwa nshajiweka pembeni
 
Back
Top Bottom