Rutayuga91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 449
- 249
Nina samsung usb flash 8gb! ila tatzo kubwa ni kuwa ipo kwenye write protection mode! nishajaribu kuondoa write protection mpaka kwa kutumia disk part command ila bado tatzo linaexist!
kama kuna mwenye ujuz naomba anisaidie kwa hilo!!
kama kuna mwenye ujuz naomba anisaidie kwa hilo!!