rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Ninawi ni mji mkongwe na uliokuwa maarufu zaidi miaka ya Yona, mji huu unapatikana katika nchi ya Syria karibu kabisa na mji unaoitwa Mosul uliopo Iraq.
Ninawi ulikuwa mji muhimu sana kwa sababu barabara ya kuelekea miji ya kusini na kaskazini ilikuwa inapita katikati ya ninawi.
Vile vile kuna mto mkubwa unaitwa khawser unapita katikati ya ninawi na ulisaidia sana kukuwa haraka kwa mji kwa sababu ya kilimo kilichotegemea sana mto huu
Watu wa kwanza kuishi ninawi walikuwa wakiitwa Neolithic na walikuwa wakulima
Kwanini Yona alikataa kwenda ninawi?
Ni siku ya tatu leo nasoma kitabu cha Yona na nimegundua mambo mengi sana ambayo Bibilia haikuweka wazi sana, kwanza historia ya Ninawi na historia ya Yona
Ninawi ulikuwa ni mji mkubwa sana na tukirudi nyuma enzi za Nimrod Yule mtu aliyemuasi Mungu na kutaka kujenga mnara ili ufike Mbinguni aliishi mji ule,au ni kabila moja na wakaazi wa mji ule,
Yona alijua vizuri historia ya Ninawi na ndio maaana alipotumwa na Mungu kwenda kuhubiri alikimbilia mji mwingine Tarshishi ili kuuepuka mji ule mkubwa
Viwanda vilikuwepo ndani ya Ninawi enzi hizo na mji ulikuwa umejaa wasomi wa kila aina hata barabara zake zilikuwa hazina mfano kulinganisha na mahali popote pale duniani enzi hizo
Yona alikuwa Myahudi na alijua wazi watu wa ninawi walikuwa adui za wayahudi na adui wa Mungu
Alipopewa ujumbe kuelekea ninawi alikaa na kufikiri na kujipima na akaona hafai hata kidogo kwenda kupeleka ujumbe kwenye mji mkubwa wenye viwanda uliojengeka kiuchumi na uliojaa maelfu ya watu wasomi na walioitwa wastaarabu enzi hizo
Mungu anashangaza sana kumtuma mtu mmoja kwenye mji mkubwa kiasi hiki bila maspika makubwa wala kumtangaza kwenye tv na radio na wasaidizi kibao wakiambatana na mafundi mitambo. Hiyo inashangaza. Nimemaliza kitabu cha Yona na nimeona vema kuwagawia nilichojifunza.
Mungu awabariki!