Ninaweza kupata jiko la gesi lenye oven na microwave?

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
845
429
Natumaini mnaendelea vizuri wanajamvi!

Ninaomba kujua iwapo majiko ya gesi ambayo yana microwave na oven yanapatikana.
 
Kariakoo hapo katikati barabara ya uhuru maduka ni mengi ila kuwa muangalifu na bei nafuu kwani mara nyingi yamechakachuliwa na hawakuambii ukweli.ukitaka kununua bidhaa zenye kiwango nenda maduka barabara ya uhuru karibu na mnazi mmoja ama Mnara wa saa wana majiko ya uhakika ila bei zao zipo juu.
 
Asante mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom