Ninaweza kuamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine bila idhini?

Sikasyakamo

Member
Aug 1, 2015
36
9
Heshima kwenu wakuu!

Naomba ufafanuzi kidogo juu ya hili jambo je kwa kuzingatia sheria za utumishi mwl ngaz ya shahada na stashahada wanaweza kuhamishwa idara kutoka elimu sekondari kwenda elimu msingi bila idhini yao?.
 
Ninavyojua Mimi mwajiri ndo hutoa idhini kwa mwajiriwa coz yeye ndo aliyemwajiri so ana mamlaka na uwezo wa kumpangja /kumuhamisha kazi mfanyakazi wake
 
Back
Top Bottom