Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize mvuke wake ukiwa umejifunika taulo.


Dawa ya asili ??!!
 
This is serious I may die.
Jitayarishe kwa kifo chako kwa kuwa umekuwa unaipinga sana serikali ya awamu ya tano iliyowekwa na Mwenyezi Mungu. Sasa Mungu amekasirika lazima akuchinjie baharini mkuu. Pole sana!!
 
Back
Top Bottom