Ninavyo sikia kuhusu secretariat ya ajira

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
Nilivyosikia ni kwamba ile secretariat ya ajira ni full wachaga sasa kama umefanya interview na mchaga basi nafasi yako ni finyu sana na ya mchaga ni kubwa sana kupata
Je ni kweli hii
 
Nilivyosikia ni kwamba ile secretariat ya ajira ni full wachaga sasa kama umefanya interview na mchaga basi nafasi yako ni finyu sana na ya mchaga ni kubwa sana kupata
Je ni kweli hii

tripple K hayo unayosema,nashindwa kuyatolea comment,,,,,lakin watakuja wadau hapa kumwaga stori
 
Ulivyosikia na nani? Umenisumbua kufungua thread yako nikifikiri umeandika jambo la maana kumbe huna tofauti na gazeti la Al Nuur. Hivi kwa akili yako ofisi inaweza kuwa na watu wa kabila moja tu na mndengereko asiwepo?
 
Mathalani mmeomba nafasi moja na mchagga. Halafu wewe uko qualified na umefaulu interview,utaachwa na mchagga atachukuliwa! Ndo maana yako hiyo?
Halafu kwanini usiulize ulikosikia? Tukikuita wewe mkabila?
 
Ulivyosikia na nani? Umenisumbua kufungua thread yako nikifikiri umeandika jambo la maana kumbe huna tofauti na gazeti la Al Nuur. Hivi kwa akili yako ofisi inaweza kuwa na watu wa kabila moja tu na mndengereko asiwepo?

hapo kwenye nyekundu mkubwa ndio tatizo
 
this is way too low 4 jf.............unatuletea habari za kusikia hapa,NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK
 
hizi ni dalili za inferiority complex kuamini wewe na mchaga hamuwezi kushindana mchaga ni mchaga hivyo jiamini unaweza ukapambana nae.
 
Nilivyosikia ni kwamba ile secretariat ya ajira ni full wachaga sasa kama umefanya interview na mchaga basi nafasi yako ni finyu sana na ya mchaga ni kubwa sana kupata
Je ni kweli hii

Unaposema ni full wachaga unamaanisha asilimia 100 ni wachaga au wachaga ni wengi? Kama ni hvyo unashindwa nini kuweka kabila ni mchaga kwenye CV?
 
Nilivyosikia ni kwamba ile secretariat ya ajira ni full wachaga sasa kama umefanya interview na mchaga basi nafasi yako ni finyu sana na ya mchaga ni kubwa sana kupata
Je ni kweli hii

endelea kusikia!
 
Ingawa wenzetu wanabebana sana na humegeana mapande maofisini lakini hilo ulilolisema linahitaji ushahidi wa kutosha. Aliyekuambia akupe idadi ya wachaga kadhaa waliochaguliwa katika interview mbalimbali huku hawana vigezo au walishindwa na wasio wachaga kwenye interview lakini wao wakapita. Nina maana wakupe pia na alama zilizokuwa zinatolewa na kamati ya usaili. Utupe pia kamati ya usaili ina watu gani? Unaweza ukatusaidia kuanzisha harakati juu ya hiyo tume au sisi kuacha kusingizia ukabila kwa kila kitu.
 
Ongezea kwenye CV yako kuwa kabila lako ni Mchaga ili upate kazi siku zijazo. Kuflisika kimawazo huko
 
Ulivyosikia na nani? Umenisumbua kufungua thread yako nikifikiri umeandika jambo la maana kumbe huna tofauti na gazeti la Al Nuur. Hivi kwa akili yako ofisi inaweza kuwa na watu wa kabila moja tu na mndengereko asiwepo?

hapo kwenye nyekundu mkubwa ndio tatizo

Speak to the editor then if you want to face the change or argue with me in order to change the face
 
ukishindwa kumwaga madesa kwenye intavyu unaenda kumdanganya my wife kuwa "nimekosa kaz coz kulikuwa na wachagga" kaza msuli mwana acha woga na jiamini, mbona unakuwa mlalamishi kila kitu kama wale wenzako wa dini ileeeee.......
 
kanchi haka kadogo watu wake wanazungumzia ukabila,anyway fine reseach yake aanzie mashuleni.....ili aone jinsi ......
kingine yeye ni kabila gani? ili tumpe nasi tuliopuuza kuhusu kabila lake kujilimbikizia............,bye but usilalamike sana jitume tu na MUNGU ATAKUSAIDIA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom