Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
17,376
2,000
Itapendeza ukishare pm au hapahapa nataka nione paa lake linaonekanaje na mimi nijilipue mwaka huu
Najaribu ku retrieve full images zinagoma kutoka kwenye source yangu. Nikifanikiwa ntakupatia
IMG-20210608-WA0039.jpg


IMG-20210613-WA0059.jpg
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
40,376
2,000
Kama uchumi unaruhusu jenga nyumba ya kueleweka, yenye vya kutosha(angalau kuanzia 4).

Mambo ya kulazimika kulala kwa jirani ili umpishe mgeni sio poa kabisa
Mgeni akija ajipange ajue atafikia wapi
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,253
2,000
Mkuu tatizo ni uwezo, kibongo bongo kutokana na uchumi wa mtu mmoja mmoja kutoruhusu kumiliki nyumba kubwa wengi wamechagua style hii ya ujenzi, master bedroom chumba cha watoto wa kike na chumba cha watoto wa kiume bora familia yake ijisitiri ila kama mtu uwezo unao siyo mbaya nyumba yako kuwa na vyumba kuanzia vitano+ ili kukamilisha mahitaji yote.

Mkizeeka mnabakia ndani na empty rooms za kutosha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom