Ninavishauri vyombo vyoote vya ulinzi na usalama/ TANAPA kununua aina hii ya ndege

Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
1,812
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
1,812 2,000
Kama bichwa la habari linavyojieleza, navishauri vyombo vifuatavyo vya ulinzi na usalama kununua aina hizi za ndege ili kurahisisha shughuli zao na kutumia gharama nafuu katika kutimiza majukumu yao ya kila siku.

Jeshi la wananchi: Hii itawasaidia kufanya surveylence ya mipaka pia kuwawezesha marubani wao kupata flight hours za kutosha.

Zima moto: Itawasaidia kufika kwenye matukio ya ajali na majanga kwa upesi zaidi huku wakisubiri vifaa vingine vizito kuwasili eneo la tukio.

Jeshi la Sirro: Hii itawasidia kufuatilia matukio ya kihalifu kama vile kutekwa Mo, majambazi yanayotaka kutoroka kwa uharaka zaidi.

TANAPA: Itawasaidia kuwafuatilia wawindaji haramu kwa urahisi zaidi. Pia ndege hizi hazina mlio mkubwa hivyo zitaepusha usumbufu kwa wanyama.

Sifa za ndege hizi: Zina injini ya piki piki: Zinatumia mafuta kidogo na hazihitaji maintenance kubwa.

Zinaweza kupaa na kutua katika 'kiwanja' chenye urefu mfupi.

W

wogakuria

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2018
Messages
744
Points
1,000
W

wogakuria

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2018
744 1,000
TANAPA: Itawasaidia kuwafuatilia wawindaji haramu kwa urahisi zaidi. Pia ndege hizi hazina mlio mkubwa hivyo zitaepusha usumbufu kwa wanyama.
Nawaza tu inapokuwa inakatiza jirani na vijiji vya gibaso, mbalimbali au machochwe kule serengeti/tarime halafu wakurya wamejificha kichakani na mishale yao
 
Alvin A.

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Messages
938
Points
1,000
Alvin A.

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2016
938 1,000
Kama bichwa la habari linavyojieleza, navishauri vyombo vifuatavyo vya ulinzi na usalama kununua aina hizi za ndege ili kurahisisha shughuli zao na kutumia gharama nafuu katika kutimiza majukumu yao ya kila siku.

Jeshi la wananchi: Hii itawasaidia kufanya surveylence ya mipaka pia kuwawezesha marubani wao kupata flight hours za kutosha.

Zima moto: Itawasaidia kufika kwenye matukio ya ajali na majanga kwa upesi zaidi huku wakisubiri vifaa vingine vizito kuwasili eneo la tukio.

Jeshi la Sirro: Hii itawasidia kufuatilia matukio ya kihalifu kama vile kutekwa Mo, majambazi yanayotaka kutoroka kwa uharaka zaidi.

TANAPA: Itawasaidia kuwafuatilia wawindaji haramu kwa urahisi zaidi. Pia ndege hizi hazina mlio mkubwa hivyo zitaepusha usumbufu kwa wanyama.

Sifa za ndege hizi: Zina injini ya piki piki: Zinatumia mafuta kidogo na hazihitaji maintenance kubwa.

Zinaweza kupaa na kutua katika 'kiwanja' chenye urefu mfupi.

we jamaa unawajua majangiri wewee??? wanatumia silaha za kivita sio gobore
 
Forum statistics

Threads 1,316,014
Members 505,466
Posts 31,876,491
Top