Aug 29, 2021
36
123
Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60

Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro.

Wapo Majike 9 na Madume 9

Wote Wanauzwa

Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu

Tuwasiliane
+255738141339

Text, Call or Whatsapp
Shamba lipo Dar es Salaam
Bunju B
Mabwe Pande.

Wote Mnakaribishwa.

Upatapo Tangazo Hili Mtaarifu na Mwenzako!!

20210824_081051.jpg

20210824_080905.jpg

20210818_080304.jpg
Screenshot_20210829-175626.png

20210831_145734.jpg

20210831_145837.jpg

20210831_145837.jpg

20210831_145822.jpg
 
Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60

Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro.

Wapo Majike 9 na Madume 9

Wote Wanauzwa

Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu

Tuwasiliane
+255738141339

Text, Call or Whatsapp
Shamba lipo Dar es Salaam
Bunju B
Mabwe Pande.

Wote Mnakaribishwa.

Upatapo Tangazo Hili Mtaarifu na Mwenzako!!

View attachment 1915803
View attachment 1915808
View attachment 1915812
Ungesema pia ni aina gani ingependeza, kusema tu wa kisasa bado haitoshi.
 
2021 SPECIAL CHRISTMAS OFFER!!

MAJIKE YA NGURUWE WA KISASA YENYE MIMBA au Jike Moja lenye Mimba Pamoja na Dume Kubwa La Duroc

Majike ya Nguruwe ya Kisasa aina Ya Duroc Hybrid 75% yenye Mimba ya Dume Duroc 87.5% yapo Sokoni

Jike Mmoja Mwenye Mimba ni 1,500,000/= Tu

Dume kubwa la Duroc ni Tshs. 3,000,000/= Tu

UKICHUKUA Majike WAWILI wenye Mimba UTALIPIA TSHS. 2,000,000/= TU kwa wote wawili kwa Pamoja

UKICHUKUA Majike WANNE wenye Mimba UTALIPIA TSHS. 4,000,000/= TU kwa wote wanne kwa Pamoja

Ukichukua Jike Mmoja Mwenye Mimba na Dume Kubwa la Duroc linalopanda ki Biashara Utalipia Wote Wawili Tshs. 4,000,000/= Tu. Wote wawili kwa Pamoja

PATA MAJIKE MANNE YA NGURUWE WA KISASA 75% DUROC YENYE MIMBA YA DUME DUROC 87.5% KWA TSHS. 4,000,000/= TU.

DELIVERY KWA MKOA WA DAR NA PWANI IPO KWA GHARAMA YA MTEJA

Majike hawa Wamezaa Mara Mbili Tu Hapa Shamba

Na Sasa Wana Mimba yao ya Tatu Watazalia Mikononi Mwako

TENDA

20211202_124259.jpg

WEMA UENDE ZAKO

KANTANGAZE

Text, Call or Whatsapp +255738141339

20211202_122325.jpg

20211202_122311.jpg

20211202_121954.jpg

20211202_121848.jpg
 
Bado Ujaona Wafugaji wanaofanya Monopoly au walioshikilia soko la Ufugaji wa Nguruwe Tanzania jinsi wanauza kwa kukomoa

i.e. Pure Breed Duroc 100% wa Miezi mitatu ni Million 2. Pure Pietrain wa Miezi Mitatu ni Million 2. Pure Largewhite au Landrace wa Miezi mitatu ni Million 1.5. Na Nguruwe wa 87.5% Duroc na mbegu mbali mbali wa miezi mitatu Wanauzwa 500,000 mpaka 700,000. Nguruwe 93.75% Duroc wa miezi mitatu ni 700,000 na Kuendelea

Na, huwa hawauzi Nguruwe wa Chini ya Miezi mitatu !!!

Nguruwe majike wenye mimba wa 75% - 87.5% Duroc ni Million 1.5 mpaka Million 2. Majike Wa Pure Breed 100% Duroc wenye mimba bei zake zitakushangaza. Madume makubwa yanayopanda mbegu 87.5% - 100% Duroc bei zake zitakushangaza hivi hivi ni Tshs. 3,000,000 na Kuendelea .

Mfano Kuna Mfugaji ashawahi kusema anauza dume lake Duroc 100% Kubwa kwa 6 Million

Quite astonishing Pig farming System. So Be Inspired to Start Pig Farming Kwa ajili ya kuuza Nguruwe wa Mbegu kwa Wafugaji Wengine.

Jifunzeni kusoma makala za ufugaji na taratibu za masoko za bidhaa kama hizi za Nguruwe Wa Kisasa wa mbegu

Kuna watu wana make Millions . Kwaio ukisikia mimi natoa offer hii yote ni kama misaada au sadaka maana ki uhalisia hauwezi kupata kwa uraisi.

Na mimi siuzi ili nipate faida ya kifedha. Hapana. Hii hela ninayoitafuta either 2,000,000 au 4,000,000 ni ili nikanunue Duroc Pure Breed 100% wawili wa miezi mitatu ili nije niwafuge niendelee kuzalisha Nguruwe wa kisasa wa bei nafuu tofauti na wa soko la sasa.

Ka fursa flani hivi nimekaona nilipo jaribu kuwa mbunifu na kuishi kutokana na mazingira yangu au Ka Challenge hivi nataka nikalete ka Revolutionalize Ufugaji wa Nguruwe hapa Nchini kwetu Tanzania.

For the best interest ya wafugaji wengine watakaopenda kufuga nguruwe wa Kisasa wa mbegu ila wapate hizi mbegu kwa gharama nafuu, na hata wakiwa na umri wa mwezi mmoja na kuendelea. Na pia
Na Kwa faida ya Ufugaji kwa Ujumla na Mafanikio yake yote yanayoambatana nayo Pamoja na Changamoto zake Kubwa na Ndogo, Mfano Kipato cha uwekezaji katika Mradi, Mbegu Bora za Kisasa za Aina Zote kwa Pair, Chakula, Afya ya Mifugo, Wafanyakazi, Natural Disasters, Loss Nakadhalika

Ila Just Hold on Loosely But Do not Let Go . . . Ufugaji wa Nguruwe ukiwa Mbunifu Unalipa.

Nguruwe Muuze Akiwa Mzima Mzima wa Mbegu Ukisema Umchinje Tu, Unakula Hasara sio Nyama

Maana Nyama haina Thamani kama Thamani ya Mnyama
20211213_083943.jpg
 
Samahani mkuu ila ningependa kujua huyo nguruwe wa 3M anakuwa ana kilo ngapi za nyama akiwa mzima?
Huwa nilisikia hawa wanauzwaga kwa kilos.
 
Samahani mkuu ila ningependa kujua huyo nguruwe wa 3M anakuwa ana kilo ngapi za nyama akiwa mzima?
Huwa nilisikia hawa wanauzwaga kwa kilos.
Kilo zaidi ya 140 ila hawa wanauzwa kama mbegu boss. Huwezi ukamchinja Dume wa Duroc 87.5% mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Anauwezo wa kukuingizia zaidi ya hio hela unayomnunulia ndani ya miezi 8 tu ya kuzalisha majike zaidi ya 20 ya nguruwe kwa mizao miwili tu ndani ya mwaka. Ungekuwa mfugaji wa nguruwe wa kisasa lazima ungesema yes this is a True Fact

Ila ukimchinja utakula nyama au utauza utapata sio chini ya laki 7 ila utakuwa umefanya maamuzi mabovu sana kama mfanyabiashara au mfugaji.

Bora kuchinja wale nguruwe wa aina nyingine lakini sio dume bora la mbegu
 
Ninauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa Pietrain Hybrids Bei Tshs. 100,000/= - Tshs. 200,000/= tu Kutokana na Umri au Aina ya Mbegu.

Tuwasiliane +255738141339

Mimi ni Perserverant Pig Breeder.

Shamba lipo Dar es salaam Bunju B. Mabwe Pande, Sehemu Inaitwa Manzese
. . .

Watoto wa Nguruwe wa Mwezi Mmoja au Mwezi Mmoja plus Wapo.

Bei Tshs. 100,000/= - Tshs. 200,000/= . . .

Kama kuna Dealer au Dealers wa kununua Watoto wa Nguruwe wa Umri wa Mwezi mmoja au Mwezi Mmoja Plus na Kwenda kunenepesha?

Wawasiliane na mimi niwazalishie watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Mwezi Mmoja tu au Mwezi Mmoja Plus

Hii ndio fani yangu. Kufuga, Kuzalisha na Kuuza Hybrids za Nguruwe wa Kisasa wa Aina Mbali Mbali kwa Bei Nafuu kuliko ya kununua mtoto wa Nguruwe wa Miezi mitatu. Aliokwisha kutunzwa.

Hapa sikosoi ideology ya mtu mwingine yoyote. Ila faida yake ni kwamba mteja atajipatia wa kwake wa Mwezi Mmoja tu au Mwezi Mmoja Plus akamfuge yeye mwenyewe.

kwa kumpa
1. CREEP Feed ya Novatec na kisha
2. Growers na
3. Finisher au
4. Lactating Feed.

NB: Utakuwa ukiichanganya Concentrate hii na Pumba ya Mahindi tu au na Vitamins additional ukipenda

Na

NB: HAKIKISHA kuzingatia usafi wa Wanyama wako na Mabanda pamoja na kuwapa Dawa za Minyoo kila Mwezi.

NB: Pia kuzingatia kuwapatia maji safi ya kunywa - kila wakati yawepo yanapatikana.

FAIDA: Miezi mi 3,4/5 tu Utaweza Kuchinja Nguruwe I.e / Mfano Madume, na Miezi sita tu utaweza Kupandisha Majike ili wakiwa na Miezi tisa tu wanazaa

FAIDA: Unaweza ukawanunua wakiwa na Mwezi Mmoja au Mwezi Mmoja Plus kwa Tshs. 100,000 - 200,000/= Ila wewe ukaja Kuwauza kuanzia wakiwa na Miezi mitatu kwa as Low as Tshs. 160,000/= - 800,000/= au Greater Than Tshs 1,000,000/= inategemea Ana Miezi mi ngapi na unamuuza kwa sababu gani. I.e. / Mfano Unamuuza kwa kumchinja kama Nyama au Unamuuza kama Nguruwe wa Mbegu kwa mfugaji mwingine wa Nguruwe. I.e Majike au Madume ya Mbegu .

Dume Huanza Kupanda akiwa na Miezi Saba tu.

Fuga Kijanja. Kuwa Dealer mapema inalipa. Ni Fursa. Maana Breeder anazalisha wewe unaenda kunenepesha. Changamkia Fursa hii.

Hata Mkataba Tunaweza kuingia watoto wanaozaliwa wa idadi ya kwanza unayotaka Ninakuzalishia after 30 days unawachukua .

If you have any questions

Kwa Mawasiliano na Serious Inquiries Only +255738141339
Text, Call or Whatsapp

#nyamayanguruwe
#nguruwe
#nguruwetanzania
#nguruwebiashara
#ufugaji
#ufugajiwanguruwe
#pig
#pigs
#pork
#swine
#Daressalaam
#bongo
#offer
#mifugo
#kitimoto

#piglet
#piglets

20220213_091144.jpg

Screenshot_20220213-171626.png

20220213_091246.jpg

20220213_091243.jpg

20220120_105401.jpg
 
Back
Top Bottom