Homa la jiji
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 129
- 28
Nahitaji mawasiriano yakoHabari wakuu.
Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.
Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.
Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.
Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.
Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.
Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.
Tunaweza kuwasiliana kupitia PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.
Kwa wahitaji karibuni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app