Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 6,764
- 13,815
CEO anatunywisha chai za mchana aisee 😅😅CEO unamkaribisha chai
CEO anatunywisha chai za mchana aisee 😅😅CEO unamkaribisha chai
Nilitaka kumuungisha. Duuuuh umeniokoa mzee babaSi kwa bei hiyo...
Dukani bei gani nimchukulie dogo langu?Si kwa bei hiyo...
20 - 25 si zaidi ya hapoDukani bei gani nimchukulie dogo langu?
Duuuuh. Inakuwa brand new katika box lake?20 - 25 si zaidi ya hapo
NdioDuuuuh. Inakuwa brand new katika box lake?
Sawa nduguNdio
30,000 SHILLINGS tush ngap?
Inaisha next weekMitihani ya Form Six imeshakwisha ehh
Nunua hii yangu uniungishe swahibaDuuuuh. Inakuwa brand new katika box lake?
Mzee baba dukani wanauza mpaka 35,000 SHILLINGSNunua hii yangu uniungishe swahiba
Mimi ninakupa kwa 30,000 mpaka 25,000Mzee baba dukani wanauza mpaka 35,000 SHILLINGS
20 - 25 si zaidi ya hapo
Infantry Soldier 25 - 20 chukua ndio bei zake.Mimi ninakupa kwa 30,000 mpaka 25,000
Sawa mzee babaInfantry Soldier 25 - 20 chukua ndio bei zake.
Sio poa kaka unaniharibia biasharaInfantry Soldier 25 - 20 chukua ndio bei zake.
Kama riziki ni yako basi ni yako tu!Sio poa kaka unaniharibia biashara