mkwawa complex
Senior Member
- Dec 15, 2016
- 183
- 150
NDUGU WANA JF.NINAUZA HIYO NYUMBA NILIYOITAJA HAPO JUU.NI NYUMBA YA 4 ROOMS(KIMOJA NI MASTER)HIZO ROOMS NYINGINE 3 WANATUMIA PUBLIC TOILET KILICHOPO NDANI YA HIYO NYUMBA.KWA NJE PIA KUNA PUBLIC TOILET.NYUMBA INAYO SEBULE KUUBWA,JIKO NA STOO.PIA NYUMBA IMEZUNGUSHIWA FENCE.KUNA CAR PARK YA KULAZA MAGARI MAWILI AMBAYO INA GATE.MAJI NA UMEME VIPO.KWA ANAYEHITAJI NYUMBA KIGAMBONI,ANAKARIBISHWA.IPO KARIBU NA FERY.NI WALKING DISTANCE YA DK 5 TU KUTOKA KWENYE PANTONI.UKITOKA HOME KWENDA CITY CENTRE,UKISHAVUKA TU NA PANTONI,TAYARI UNAKUWA UKO CITY CENTRE..KWA MADALALI WENYE WATEJA PIA MNAKARIBISHWA TUFANYE BIASHARA.CONTACTS 0784 26 98 05 AU 0714 00 00 68