Ninauza mashine za kufua nguo

Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe

Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke

Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu

Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri

Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii

Njia ya mawasiliano: nicheki PM

View attachment 1102189View attachment 1102190

Nilidhani ni aina ya LG!!
 
Hivi utumiaji wa umeme kwenyenmashine za kufulia nguo upoje? matumizi ni mengi au?
Naona unawaza mbali sana mkuu ukifikiria ukifua vijinsi vyako sita na vishati mikono yote inawaka moto unafikiria umeme unaenda sana.
 
Back
Top Bottom