Ninauza kiwanja

chilamjanye

Senior Member
Oct 5, 2007
110
3
Ninauza kiwanja changu kipo madale ni robo heka kimezungushiwa michongoma ni karibu na kwa Kawawa kinafikika kiurahisi lakini hakijapimwa bei milioni 5.5 kuna mazungumzo nauza kwa sababu nina shida ya Ada ya Chuo na Dalali Hatakiwi mimi ndo mwenye mali na muuzaji.

Note: nilishatangaza mwanzoni watu wakanijoke wakaahidi kuja hawakuja nina na namba zao na messages hao sitzungumza nao tena.
Nahitaji aliye serious jamani,
namba ni 0787585860 na email ni sabe_05@yahoo.com
 
Una maana hicho kiwanza ni mita 17.5 X 17.5 ? maana hiyo ndio robo heka
 
Samahani unaweza kunielekeza hicho kiwanja kipo maeneo gani kwani hilo jina hapo kwangu silifahamu na kwa Kawawa sipafahamu pia! Samahani sana napenda kupata kiwanja kwa sasa!
 
Samahani unaweza kunielekeza hicho kiwanja kipo maeneo gani kwani hilo jina hapo kwangu silifahamu na kwa Kawawa sipafahamu pia! Samahani sana napenda kupata kiwanja kwa sasa!

kipo madale ukipita Tegeta kama unakwenda wazohill kiwanda cha simente ndo panaitwa madale kwa Marehemu Rashid Mfaume Kawawa
 
kipo madale ukipita Tegeta kama unakwenda wazohill kiwanda cha simente ndo panaitwa madale kwa Marehemu Rashid Mfaume Kawawa

Hutaki kuishi karibu na waasisi wa chama tawala!? ..mbona mzee simba wa vita ameshatangulia mbele za haki..!!! (just a joke)
 
Jamani, nauliza madale na mivumoni ni sehemu moja? Nimepewa offer ya eka moja kwa million 19.... Mimi sipo bongo, sijui kitu kuhusu hizi sehemu. Please i need help.
 
Jamani, nauliza madale na mivumoni ni sehemu moja? Nimepewa offer ya eka moja kwa million 19.... Mimi sipo bongo, sijui kitu kuhusu hizi sehemu. Please i need help.

Madale na Mivumoni ni kama vijiji viwili vinayofuatana... Mimi sio mtaalamu sana wa Viwanja lakini nahisi vya mivumoni vilipimwa na serikali (vya Mradi), sasa sijui kama serikali ilipima heka moja moja au vipi. Lakini nadhani 19M is on the higher side
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom