Ninauza kiwanja changu salasala (kinzudi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninauza kiwanja changu salasala (kinzudi)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Revolution, Mar 25, 2011.

 1. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Ndugu wana JF ninauza kiwanja changu maeneo ya salasala kinzudi karibu kabisa na shule ya rightway nursery and primary school, kipo karibu na barabara na kuna majirani wameshamaliza kujenga na wengine kuhamia. Kina ukubwa wa miguu 25 kwa 22 na bei yake ni ml 9 na maongezi yapo. Kwa serious buyers namba yangu ni 0755 55 14 59.

  NB: Kwa wanaotaka sitevisit ninakuwa available jumamosi kuanzia saa nane mchana na jumapli kuanzia asubuhi saa moja.

  Nawasilisha.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Vipi kinajaa maji mvua ikinyesha? Mbona wakiuza yekhe? Nini kimekusibu? Kimepimwa?
   
 3. S

  Strategizt Senior Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kina hati?
   
 4. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kimekuwa surveyed ?
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sio cha Urithi?
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  9m mbona hela ndogo kiwanja kina matatizo gani
   
 7. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Nimefanikiwa kupata kingine hivyo natafuta nguvu ya kunyanyua msingi, hakijapimwa kaka.
   
 8. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Mkuu shaka ondoa, eneo halina matatizo yoyote, hiyo bei niliyotaja ndio market price ya maeneo hayo mkuu.
   
 9. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Miguu 25 kwa 22 unaamanisha ni mita 25 kwa mita 22?
   
Loading...