Ninauza Dagaa wa kukaanga

Riben

Member
Nov 27, 2014
58
10
Dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi.
Kwanini ununue kwetu?
*Hawana mchanga wala uchafu
*Wamekaangwa wakiwa wabichi hivyo wanaweza kuliwa baada ya kupashwa tu sio lazima kuunga na nyanya.
* Wametiwa viungo kwa harufu nzuri
* Ni salama sana kwa matumizi ya nyumbani na familia sababu wamekaangiwa mafuta safi na kwa usafi wa hali ya juu.
NINAUZA KWA SADO 30000.
NB.NI KUTUMIA NYUMBANI KWA BIASHARA KUNA PACKAGE NYINGINE (PAKETI 800 NDOO 60000
0659251217 KARIBU
PhotoGrid_1507197805123.jpg
 
Kwa mwaka huu mbona utauza tu maana huku mtaani tumeshaanza kuulizana NGULU wanauzwa wapi? Tukanunue tumeshashindwa kununua nyama
 
Dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi.
Kwanini ununue kwetu?
*Hawana mchanga wala uchafu
*Wamekaangwa wakiwa wabichi hivyo wanaweza kuliwa baada ya kupashwa tu sio lazima kuunga na nyanya.
* Wametiwa viungo kwa harufu nzuri
* Ni salama sana kwa matumizi ya nyumbani na familia sababu wamekaangiwa mafuta safi na kwa usafi wa hali ya juu.
NINAUZA KWA SADO 30000.
NB.NI KUTUMIA NYUMBANI KWA BIASHARA KUNA PACKAGE NYINGINE (PAKETI 800 NDOO 60000
0659251217 KARIBUView attachment 626279
Weka wazi biashara, tujulishe unapatikana wapi?
 
Naweza kuwahifadhi kwa muda gani bila kuharibika?
Miezi sita na kuendelea wakiwa sehemu kavu salama. Kwa home kama unataka za kuunga nyanya Pia kama una friza unaweza kuandaa kiasi cha mlo mmoja mmoja unfreeze /gandisha ukitaka kupika unatoa na kutia mafuta kidogo then unaunga mboga yako. Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom