Ninaumwa kichwa upande mmoja nahitaji ushauri na msaada

mollel mollel

Member
Oct 8, 2018
16
11
Nina tatizo la kuumwa kichwa kwa upande mmoja nikimeza dawa ya maumivu bado haiponi, na imefikia kiwango ya kwamba ikianza kuuma zaidi naishiwa nguvu hv, pia najiskia kuchoka mda wote na nikijaribu kulala nashindwa kunakuwa na mshtuko fulani nashtuka so nashindwa hata kulala.

Wadau naombeni ushauri kuhusu hili.
 
Nenda pharmacy nunua advil migraine kidonge kimoja 1,500 kwa siku utahitaji 1×3(vidonge 3) lete mrejesho utanishukuru sana.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nina tatizo la kuumwa kichwa kwa upande mmoja nikimeza dawa ya maumivu bado haiponi, na imefikia kiwango ya kwamba ikianza kuuma zaidi naishiwa nguvu hv, pia najiskia kuchoka mda wote na nikijaribu kulala nashindwa kunakuwa na mshtuko fulani nashtuka so nashindwa hata kulala.

Wadau naombeni ushauri kuhusu hili.
Nenda hospitali ukacheki mambo ya presha.

Inawezekana presha yako imepanda,kuna kipindi hata mimi kiliwahi kunitokea kitu kama hicho kutokana na uzito wangu kuzidi kiwango kwa sababu nilikuwa nakaa sana nyumbani nilipokuwa likizo siendi kazini.

Baada ya hapo nilikwenda hospitali nikapewa vidonge kwa ajili ya kushusha presha hata hivyo sikupenda kuvitumia nikaona nianze kufanya mazoezi ya kupunguza uzito sasa hivi nimeanza kuwa sawa.
 
Dalili za BP wahi mapema hospital ikizidi hapo utapata shida ya stroke
 
Na kapicha nimetupiamo
Screenshot_20201101-060724.jpg
 
Back
Top Bottom