Ninauliza mkoa wenye bajaji nyingi za two stoke

shad

New Member
Nov 23, 2011
3
0
Nina spare nyingi za bajaji za two stroko nipo tunduma hapa kwasasa kunabajaji aina ya tvs so nilikuwa ninaomba kwa yeyote anayejua sehem ambayo hizi bajaji zinazotumia two stroke zinapopatikana kwa wingi ninaomba anijulishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom