Ninatoa huduma ya Kusafirisha mizigo kwa wanahitaji hapa mkoani Singida

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,003
Rejea kichwa. cha habari hapo juu,
Nina lorry saba za tani 30 zipo hapo Singida mjini,ninatafuta mizigo ya kusafirisha kwenda Morogoro,Pwani na hata Dar es salaam,bei ni maelewano kufwatana na umbali.
Mwenye mzigo tafadhali tuwasiliane kwa pm au namba 0783724242
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom