Ninatengene windimill water pump

Mbaliche

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
294
61
Ndg zangu maendeleo ya kilimo,ufugaji nk, sasa tunatengeneza windmill waterpump,pamp inayovuta maji ktk visima,mito,mabwawa kwa kutumia upepo. Pia tunachimba visima virefu na vifupi,pia local greenhouse & drip irigation kwa bei poa
 
Mkuu Mbaliche

Shukrani sana tafadhali weka contact zako na pia ikiwezekana weka gharama za utengenezaji.Kama unaona shida niPM tafadhali tafadhali sana.
 
Last edited by a moderator:
Ina uwezo wa kupampu lita ngapi au cubic meter ngapi kwa saa?
Weka japo picha tujiridhishe!
 
Mkuu Mbaliche

Shukrani sana tafadhali weka contact zako na pia ikiwezekana weka gharama za utengenezaji.Kama unaona shida niPM tafadhali tafadhali sana.

Mkuu cont zangu nimesha toa hapo kwa mh richmark,kuhusu bei zina tofutiana kulingana na mazingira,urefu wa kisima nk.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu cont zangu nimesha toa hapo kwa mh richmark,kuhusu bei zina tofutiana kulingana na mazingira,urefu wa kisima nk.

nipe bei ya kuchimba kisima maeneo ya mbezi juu barabara ya kuelekea Goba
 
nipe bei ya kuchimba kisima maeneo ya mbezi juu barabara ya kuelekea Goba

Mkuu kabla ya jambo lolote cha kwanza utafit kujua maji yapo ktk eneO lako! Je maji yatapatikana kw urefu wa mita nga tabia ya udongo nk
 
Ndg zangu maendeleo ya kilimo,ufugaji nk, sasa tunatengeneza windmill waterpump,pamp inayovuta maji ktk visima,mito,mabwawa kwa kutumia upepo. Pia tunachimba visima virefu na vifupi,pia local greenhouse & drip irigation kwa bei poa
Mimi nahitaji kuchimba Kisima cha kutumia hiyo pump yenu maeneo ya Buza je inagharimu kiasi gani kwa wastani?
 
Tafadhali tupatie physical adress yako mnapopatikana na ikibidi namba za simu,waweza ni pm
 
Ok! Mkuu cont zangu ni 0768092950
Mkuu shukrani kwa taarifa na contact zako...Ingekuwa vyema kama ungeweka basic details...kama bei, picha za vifaa na zaidi hata email address wengine wanaishi nje ya nchi.. Wengi tunahitaji huduma hii maana bongo maji bado ni kitendawili. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom