Ninataka kuanzisha Kampuni ya filamu Tanzania: USHAURI

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
405
Hello wakuu..
nina mpango wa uanzisha kampuni ya filamu hapa Tanzania, makao makuu hapa Dar.
Naombeni maujuzi yeni na nini mnajua kuhusu mahitaji ili ampuni isimame..
Nahitaji vifaa vingi sana mpaka movie isimame kabisa na kuuzwa..

Nimejitahidi kutafuta wafadhili kutoka nje, nimempata mmoja kutoka netherlands ambae kaniahidi kunisaidia camera 2 tatu.. sasa kaniambia nimtajie mahitaji ili ajipange aone namna ya kunisaidia..

Karibuni.. sema chochote.. naweza kuwa nimeacha maelezo muhimu sana..
 
Mbona unaonekana kama haujui unachotaka kufanya?
Kichwa cha habari nikjua unatupa maujuzi kumbe unauliza cha kufanya,umeandika kama magazeti ya shigongo,wewe ni bure kabisa..
 
Wakati umefika wa kufanya mapinduzi kwenye sanaa hasa za filamu tz, filamu nyingi zinazotolewa hapa Bongo hazina ladha kabisa, hata hamu ya kuziangalia watu hawana! Ubunifu wa vionjo vipya hamna filamu za kibongo kweli zinaboa...Mkuu kama umejipanga kufungua kampuni ya filamu inabidi ujipange kweli kweli isije ikawa unazalisha filamu zinazoboa watazamaji, hivi sasa inatakiwa angalao tuwe na studio inayokaribia angalao studio kama za universal, 20 century, paramount picture,columbia pictures,warner bros angalao kwa 40%, fikiria zaidi kufika huko na siyo kufungua studio uchwara ambazo sinema zake zitakuwa za viwango vya chini kama zilizopo, angalia zaidi kuzalisha sinema zitakazokuwa na viwango vya kimataifa na kuuzika mataifa mengi, lakini kama utalenga kupata angalao fedha peke yake utaishia kutoa sinema mbovu! Kwa mahitaji mengine unaweza kugoogle ukapata taarifa nzuri tu, nikutakie kila la kheri, lakini uangalie usijetoa vitu vya ajabu baada ya kufanikiwa kupata mahitaji
 
nashukuru sana mkuu kwa hizi hint muhimu..
Nitazingatia sana haya
 
Ok chukua kalamu;
Watoto wazuri
Mchukue JB
Mchukue Lulu
Vyombo vya chakula
Kibwaya
Ungo
Muombe mzee Jangala vifaa vyake akuazime
Flashi
Memory card
Flat screen.
 
Lete hizo pesa huku rombo tuanze mtaji Wa mbege ni pm tuongee
 
Back
Top Bottom