Ninatafuta nafasi ya kazi ihusianayo na sheria au huduma za kisheria(kuanzia mwezi August 2011) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninatafuta nafasi ya kazi ihusianayo na sheria au huduma za kisheria(kuanzia mwezi August 2011)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by John Prophet, May 30, 2011.

 1. J

  John Prophet New Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am a Tanzanian Young man,aging 25,expecting to graduate in 23rd July from University of Dar es Salaam School of law,Bachelor of Laws(LL.B)

  I am humbly looking for an opportunity of employemnt in the legal field for any body corporate of organisation.I have acquired knowledge from the university and therefore I consider myself fit for recruitment starting August this year.An invitation following this offer,will be helpful to the nation and the youngmen class of the our nation
   
 2. c

  corleone Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  all the best brother
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Umepata?
   
 4. a

  aloycev Member

  #4
  Nov 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  apate kwa hiyo lugha anayoandika hapo juu?? Law bila ngeli nyoofu labda ufanye manispaa ya Nanjate
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Msaidie Aloycev
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  watu mnavichekesho humu!
   
 7. Mayunga6

  Mayunga6 Member

  #7
  Nov 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu acha kuaibisha fani ya sheria na chuo chako wewe,mbwembwe nyingi-pumba tupu.

  1.ageing 25 years/decades/milleniums??????

  2.unaexpect kugraduate 23rd july mwaka gani?????2020?2050????

  3.corporate body/organisation???hujaiva sheria ya makampuni wewe,unastahili sup ili upunguze mbwembwe.

  4.An invitation/offer-would you please try to make it clear?who's making offer here?are you inviting the companies to make offers to you or you do to them?

  Brother,kwa mwendo huo huwezi kumshawishi mtu akupe kazi-una dalili zote za ukilaza.
  Sidhani kama umeiva wewe.
   
 8. n

  neemsy Member

  #8
  Nov 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  TSK TSK TSK...and I mean TSK TSK TSK..... Ni ukweli au alikuwa anafanya jokes kutuchekesha?

  Kama ni kweli ninajitolea kukurekebishia hiyo CV isimame, ila wewe lazima uni prokies kuwa utaenda kwenye kile chuo cha kufundisha Kiingereza for two months ili ufanye brush up kwenye language skills. Huwa ni na charge pesa nyingi kurekebisha CV na interview training lakini wewe nakupa BURE!!! TOBA! These are our graduates... God help us-O!
   
 9. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  mhh! kweli elimu imekufa. hiyo lugha inanikumbusha lile tangazo la haki elimu mwalimu anamuuliza mwanafunzi aelezee 'climate change' sasa kama mhitimu wa sheria unashindwa hata kuandika sentensi moja iliyonyooka, hiyo mitihani uliifauluje? nahisi sasa tz imefika mwisho. mtu kama huyu akipewa kusoma mkataba wa kimataifa lazima atoke kapa, na matokeo yake ni yale ya mikataba madini. ee Mungu!
   
Loading...