Ninatafuta mume wa kuishi na kufunga nae ndoa

Dinam

Senior Member
Jan 19, 2011
116
28
Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe mfanyakazi kama mimi na mkristo pia.

Nawatakieni kazi njema.
 
Mmmh 40yrs jamani kwanini usiishi tu mwenyewe maana utanza kupata stress bure na umri umesonga....tafuta tu kakupozea machungu yako basi.
 
Mi nakutakia kila la heri katika maombi yako na hakika mungu atakupatia kwani alisema aombae katika jina langu nami nitampatia...
 
Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe mfanyakazi kama mimi na mkristo pia.

Nawatakieni kazi njema.

Jitafutie kiserengeti boy kiwe kinakukuna tu
wanaume siku hizi matatizo matupu.
kwa umri ulio nao bora ukaishi peke yako tu
 
Jitafutie kiserengeti boy kiwe kinakukuna tu
wanaume siku hizi matatizo matupu.
kwa umri ulio nao bora ukaishi peke yako tu

sio wote wanapenda zinaa ,Mungu hashindwi na chochote ukimuomba kwa kumaanisha hukujibu sawasawa na mapenzi yake.
 
miaka 40??????? ....................... muda wote huo uliuwa wapi? tuwe serious jamani..... tatizo nyie wanawake wasomi hamtaolewa kamwe, hamjuwi kuwajali wanaume... haaaaaa. hapa kazini nianao mimamaa ipo tu, hamna ndoa, aoe nani????

pole lakini, tafuta wa ujiliwaza tu, usifikirie kuolewa!!!!
 
Mtu uolewa na umri wowote wala usijari jamani wenye sifa na hamna wake, kazi ni kwako

but kuwa makini mengine madume ya watu, itakuja yakufanye nyumba ndogo( ya pili)
 
If you are not happy na maisha unayoishi basi endelea kutafuta mume. But if you are happy na maisha yako its better kuendelea hivyo hivyo kuliko kujitia mastress mara mume kahamia nyumba ndogo, ooh mara kafanya nini! Mweeh! Ni mtazamo tu lakini, otherwise.......I wish you all the best!
 
Kila mtu ameumbiwa mtu wake,so vuta subira utakutanishwa na aliye wako,haya ya umri sijui nn ni mbwembwe tu za kidunia,hakuna aliyeumbwa kuishi peke yake,kila la heri Mkuu.
 
Kuna Jamaa yangu ana 41, ni mkristo! Hana kazi. Vp.nikupe contacts? Yupo tayari kulelewa
 
Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe mfanyakazi kama mimi na mkristo pia.

Nawatakieni kazi njema.

Nimevutiwa na umri wako wa 40yrs,lakn umenidiskareji kwenye umri wa umtakaye(mm nina 54yrs sijui kama utanifikiria),ninafanya kazi ya kubrash viatu(plus kushona)hapa stendi ya vifodi....kuhusu suala la dini sio issue naweza jigeuza(badili).
 
sio wote wanapenda zinaa ,Mungu hashindwi na chochote ukimuomba kwa kumaanisha hukujibu sawasawa na mapenzi yake.

Kutimiza matakwa ya mwili wako ni zinaa?
Ushindwe na ulegee
 
je una watoto wangapi (wana umri gani ) na huyo mwenza akiwa na watoto nini maamuzi ya hao watoto??
je ulishawahi kuolewa???
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom