Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe mfanyakazi kama mimi na mkristo pia.
Nawatakieni kazi njema.
Jitafutie kiserengeti boy kiwe kinakukuna tu
wanaume siku hizi matatizo matupu.
kwa umri ulio nao bora ukaishi peke yako tu

sio wote wanapenda zinaa ,Mungu hashindwi na chochote ukimuomba kwa kumaanisha hukujibu sawasawa na mapenzi yake.
Asante kwa comment zenu nyingine nitazifanyia kazi