LUSHEPELEJA
Member
- Jan 24, 2017
- 53
- 22
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, mtumishi, elimu form six, mkristo roman cathoric, ninatafuta mchumba wa kike ambaye anajiheshimu
Sifa zake;
1)Awe mkristo mromani cathoric
2)Elimu kuanzia form 2
3)Awe na umri wa wa miaka kati 25-28, kama amezaa awe na mtoto 1,kama hajazaa asiwe mgumba.
4)Awe anaishi au ametokea mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita na Tabora.
5)Awe na rangi yoyote
6)Asiwe mwembamba awe na umbo kubwa kidogo
Kama upo tayari naomba nitafute kwa namba 0684205619 tutafanya mawasiliano na poa niweze kutuma picha zangu na za kwako.