Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,444
- Thread starter
- #21
Mkuu.. Sina majibu kamili.. Kiuhalisia kama ungependa kunisaidia naona mwanzo utakuwa mgumu.. Na kwa kiwango cha pesa nilichokitaja, ni cha biashara ambayo ningeanza nayo mimi mwenyewe... Alafu baadae nikurudishie pesa yako..Na kwa mwezi hiyo biashara itakuwa imeingiza kiasi gani?