Ninatafuta kazi

Na kwa mwezi hiyo biashara itakuwa imeingiza kiasi gani?
Mkuu.. Sina majibu kamili.. Kiuhalisia kama ungependa kunisaidia naona mwanzo utakuwa mgumu.. Na kwa kiwango cha pesa nilichokitaja, ni cha biashara ambayo ningeanza nayo mimi mwenyewe... Alafu baadae nikurudishie pesa yako..
 
Wazo zuri mkuu usikate tamaa,kitu muhimu cha kujifunza sekta/idara binafsi inapenda ipate faida kwanza kabla ya muajiriwa....ikienda kwa msemo nipe utajiri kwanza nami nikupe utajiri,kwa lugha rahisi ni uwepo wako unatakiwa uzalishe faida kwanza kabla ya wewe kupata faida.
 
Ni kweli ulichosema mkuu, lakini inataka faida pale ambapo imeanzisha kitu yenyewe na kukisimia..

Pale ambapo uliniachia mimi majukumu yote...kiukweli ni ngumu kidogo
 
Habari wakuu

Ninatafuta kazi yoyote ya kuniinguzia kipato..
Nina uzoefu kwenye tourism and tour guiding

Pia nina leseni class d

Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali.

Nina miaka 20

Formfour nilipata div 4 ya 26
Nina certificate ya Wildlife and tourism
Ninaongea kiswahili na kingereza kwa ufasaha..

.. Kama kuna kazi ya kujitolea kwenye campsites,pia naweza kujitolea

Asanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom