Habarini Wakuu
Kama kichwa cha habari kinavosema. Mimi ni kijana jinsia (ke), nina shahada ya masuala ya biashara na uchumi (Uchumi wa biashara) ni muhanga wakutafuta ajira, siko na experience sana ila ni mwepesi kufundishika na utayari wa kujifunza na mkoa wowote naeza ishi kulingana na mazingira.
Hivyo niombi langu yeyote anaezaa tokea na kunisaidia kupata either, kazi/intern/volunteering.
Asanteni sana na samahani kwa uandishi wangu ila natumaini yeyote anaeza soma nakuelewa.
PS. (Kindly) Naomba sana mtu yeyote asinijibu vibaya au kunikatisha tamaa..sio wote tunaeza pokea negative vibes za kwenye mitandao.