Ova
Member
- Feb 18, 2017
- 46
- 31
Habari zenu wana jf.
Mimi ni mwanamke,nina miaka 26,nimeokoka ninampenda Yesu,ninaishi Arusha.
Nina diploma ya Journalism na nina uzoefu wa mwaka mmoja katika tasnia ya uandishi wa habari na utangazaji.
Ninajitokeza kwenu kutafuta kazi katika radio au gazeti la dini ya kikristo katika jiji la Dar.
Mimi ni mwadilifu na mwenye kujituma, ninaomba kwa anayefahamu sehemu wametangaza nafasi za kazi au kuna kuna mtu hapa jf ana chombo chake cha habari tafadhali ninaomba msaada wako na Mungu atakubariki.