Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,444
Habari wakuu!
Ninatafuta kazi ya kujitolea kwenye campsites za watalii ili niweze kupata uzoefu maana kazi imekuwa ngumu kupata..
-Mimi nina miaka 20
-Nimesoma wildlife,Tourism and tourguiding.
-Nipo vizuri na ninajiamini kwenye maswala ya hospitality.
-ninaongea kingereza.. Kwasasa najifunza kifaransa
-ninaweza kujitolea kukiwa na uhakika wa chakula na sehemu ya kulala
-nishafanya field pale MIKUMI national park... Mwezi wa 11 adi mwezi wa kwanza mwaka huu nilikuwa pale
Nahitaji msaada wenu wakuu, mimi ntachapa kazi na sitawaangusha
Nipo moshi, naweza kufanya kazi katika mazingira yoyote yale ili kujifunza