Ninatafuta kazi ya kuajiriwa kwa dhumuni la kutoa huduma za kifedha kwenye duka la uwakala wa benki

Mkuu kwanza nashukuru sana kwa moyo wako wa kiungwana ulionao kwani naamini kuwa una dhamira ya dhati kabisa kunisaidia ndiyo maana ukatoa namba ya simu.

Hata hivyo sijafanikiwa kupata fursa ya kazi kwa mtu huyo kwani amesema, kwa unyenyekevu mkubwa mno, kuwa hana fursa ya kazi hiyo na hajawahi kuwa na fursa za kazi kama hizo nilizozitaja.

Je, mkuu hii namba una uhakika nayo?
Atakimbia na pesa zako huyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom