NINATABIRI:TAREHE 9 DEC SIKU YA USAFI WA NCHI NZIMA RAIS MAGUFULI

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
Kila Tarehe 9 December huwa tunasherehekea Sikukuu ya Jamhuri wa Muungano. Sasa hatuta sherehekea tutafanya usafi wa nchi nzima kama tutakavyo agizwa na Jemedari Mkuu wa nchi Rais Wetu Mheshimiwa Rais Magufuli Mungu amlinde na amuweke maisha marefu amin.

Magufuli.jpg
Magufuli usaji wa mji.JPG
Pombe magufuli.JPG
Rais Magufuli.jpg


HAPA NI KAZI TU UZEMBE NI MWIKO.:);):(:mad::confused::cool::p:D:eek::oops::rolleyes:o_O
 
somo la siasa lifutwe mashuleni maana tunawachanganya vizazi vijacho hawatajua swala la kupata uhuru.



swissme
Unacheza wewe! Usijekuta bwana mzee mwenyewe ukimshtukiza anaweza kuwa hajui. Aliniacha hoi kwenye yale mambo ya Kuwait na Quadaffi
 
Back
Top Bottom