usijali utavikuta mbele huko uendako
kwan mbali basi ? we subiri tu na ubibi wako utafunzwa na hao hao wajukuu huku wanakuchukua video na kukucheka vile unahangaika kwenda na steps.Mmh mkuu huko mbele ni kulea wajukuu haya yamepita
napenda travota but c za dizain io