Ninashuhudia mambo mazito kwenye ndoa ya dada yangu. Natamani kumshtua jamaa asiendelee kuibiwa ila nashindwa

Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
Achana na masuala ya ndoa za watu
 
Kina Mama wana changamoto sana maishani linapokuja suala la kuzaa. Utakuta mtu anashika mimba ya kibaka kwa tamaa zake tu, mwisho wa siku anaachwa solemba na kuanza kuhaha kutafuta mwanamme wa kumbambikizia mtoto. Atafanya kila kitu kuanzia kuroga n.k. ili mradi tu apate mwanamme wa kulea mtoto wa kibaka.
 
Ya ndoa ya dada ako hayakuhusu subiri ya kwako, akiachika hapo utamuoa wew? . Fuata kilichokupeleka
 
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister

Hii imekaaje wakuu?
Weka picha za hao watu wote wanne unaowaongelea ili na sisi tufanye uchunguzi wetu, baada ya uchunguzi ndio tutakua na uhalali wa kukushauri
 
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
Huu Ni Uongo kabisa.
 
Screenshot_20230510-233754~2.png
 
Back
Top Bottom