Ninashuhudia mambo mazito kwenye ndoa ya dada yangu. Natamani kumshtua jamaa asiendelee kuibiwa ila nashindwa

Mbona kawaida tunalea watoto ambao sio wetu..

Yeah lakini papuchi yake imeliwa na mwizi. Au nadanganya?? 😜😜😜

Siri za familia, usivuruge ndoa ya watu, tena ondoka hapo

Vunga tu mkuu mwache mwanamme mwenzetu aitwe Baba na mtoto aite baba

Wapili atakua wa shemeji yako, na mdomo uufunge mwache mtoto apate malezi ya baba na mama.

Jitahidi utafute kazi ufanye, anayofanyiwa chumbani dada yako na shemeji kwa kosa hilo usipende kuyajua

Potezea tu we jamaa usije ukasababisha matatizo hilo swala wewe halikuhusu

Huyu atakua mwanamke. Na lazima atie mchanga kitumbua huyu. Ndugu majumbani kwetu NO.

Kuwa mbea mbea ni dalili ya kukosa pesa

Fanya yako ndugu, acha ndoa ya watu

Keep your mouth shut, you can be the source of evil.

M

Mlipue mlipue

Bora nikae kimya.

Labda kafanana na babu upande wa baba

Una hamu dada ako awe single mama wewe.

Mshtue tuu mwana kisha uondoke na sister ako kurudi home kwenu.

Achana na yasiyokuhusu.

Taifa linalokuja linatisha,mtoto mmoja wababa saba

Yaache kama yalivyo endelea na maisha yako.

Hayakuhusu mind your own business

Huo ni umbea

Na bado ACHA YA WAKUTE.

Kila siku mnaambiwa MSIOEE ila HAMSIKIII.

Endeleeni tu kulea WATOTO WASIO WENU huku mkijifariji "KITANDA HAKIZAI HARAMU"

Ila ndugu zangu KWANINI MNAPENDA SHIDA HIVI?

Kuoa BABU MENDE (in pisi kali voice)..!!

Nyie hebu ACHANENI na kuoa mpunguze MATATIZO SHUBAMIITIIII (in kipanya's Voice).

Ila kama mmegoma haya bana...

Nawaangalia halafu nacheka hii "BAGOSHAAAA"

#YNWA
 
Kausha tu kama ni ukweli atakuja kujua mwenyewe lakini jitahidi sana usiwe chanzo cha mgogoro kwenye ndoa ya mtu yoyote tena haswa ndugu yako
 
Na bado ACHA YA WAKUTE.

Kila siku mnaambiwa MSIOEE ila HAMSIKIII.

Endeleeni tu kulea WATOTO WASIO WENU huku mkijifariji "KITANDA HAKIZAI HARAMU"

Ila ndugu zangu KWANINI MNAPENDA SHIDA HIVI?

Kuoa BABU MENDE (in pisi kali voice)..!!

Nyie hebu ACHANENI na kuoa mpunguze MATATIZO SHUBAMIITIIII (in kipanya's Voice).

Ila kama mmegoma haya bana...

Nawaangalia halafu nacheka hii "BAGOSHAAAA"

#YNWA
Nawaangalia Nasema Hii Bhaghoshaa
Nawa~Zoom
By Jiwe
 
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
Nenda kwenu na uwache maneno...mambo ya ndoa ya ccta ako Hayakuhusu...subiri uoe kwanza
 
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
Aisee fanya hima umtonye shem wako haraka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nitakuja kumchukua mwanangu. Asante ex shemeji . Mimi ndo Njemba mwenyewe
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom