Ninashuhudia mambo mazito kwenye ndoa ya dada yangu. Natamani kumshtua jamaa asiendelee kuibiwa ila nashindwa

SHEDEDE

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
339
551
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
 
Dada yako ana nyota kali sana, nyota ya incubator. Kamzalia x wake, atamzalia na mumewe na wengine wengi wasio na idadi atawazalia.

Makofi kwake tafadhali
 
Ndio maana kuna watu hawataki ndugu majumbani mwao, unafki na roho mbaya vimewajaa,
Umekuta wanandoa wanaishi maisha ya furaha wataka kutia doa,

Dada ako akiachika utaolewa wewe???
Sasa huyo jamaa akija kugundua mwemyewe ndo utasikia Yale mke na mtoto wamechinjwa.
Mleta mada anaweza kuwa sahihi.kulea mtoto wa mwenzio sio Jambo dogo.
Kuna jamaa alichinja mke na mtoto kule zinga kwa awadhi
 
Kwani unaogopa nini kumuuliza ndugu yako ili uwe na uhakika? Je kama alimwambia ana mimba ya mtu mwingine na jamaa alikubali kuoa hivyohivyo? Watu hatufanani.

Pia unakuwaje upande wa shemeji badala ya ndugu yako? Kuna mambo hata iweje huwezi msaliti ndugu yako ambaye mna- share vinasaba hata iweje. Umia maisha yako yote ila usimfungukie domo shemeji yako. Ukifunguka tuu utakuwa umeitukanisha familia yenu.

Kaa na dada yako ujue ukweli halafu myapange namna ya kuliweka sawa kama ameharibu kweli.
 
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
Tafuta pesa kijana acha mambo ya watu, wewe sio M-baiolojia wa familia yao, unajuaje na wewe huko mbeleni?
 
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?

Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka huu. Juzi juzi nimeenda kikazi nikafika kumtembelea kwenye mji wake.

Nilishaangaa sana aisee.

Mtoto wa sister sasahiv anasimamia vitu, aisee hafanani na shemeji kwa lolote. Nilipomkagua nikagundua anaufanano mkubwa na njemba flani niliwah kutambulishwa na sister kwenye party flani kwamba ndo angekua bwana wake wa kuona. Yani dogo ile rangi, utege, kisogo na mapepe ya macho purely ni yule njemba aisee.

Kama mwanaume ninaumizwa sana ninaona shemeji kabambikwa ila sina la kufanya.

Niliona sister anajistukia na kama anakua anatabasam nikimshika mwanae na kumrusharusha...amegutuka kwamba sikubaliani nae kuhusu baba wa mtoto.

Hii imekaaje wakuu?
Vunga tu mkuu mwache mwanamme mwenzetu aitwe Baba na mtoto aite baba
 
We ni mwongo PERIOD!
 
Back
Top Bottom