Ninashida ya kupata mfumo wa kuscan bidhaa

anonymousafrica

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
611
639
Huu ni kama ule mfumo wa kuscan bidhaa za supermarket na hapo hapo inatambua bei na kupiga hesabu.
Nna uhakika kuwa na kifaa pekeake haisaidii machine kufanya kazi.

swali. Au kila kifaa huwa na system yake ya ujazaji wa bei?

Msaada katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kifaaa (bar code reader) na Software ambayo utaingiza bidhaa kwa kuiscan na kujaza bei yake na kusave ndani ya hii software, ambayo pia utasema kiasi cha bidhaa (idadi ya chupa,mabox,etc) na software itakuwa inatunza idadi ya vilivyobaki na vilivyouzwa.kama unahitaji inbox me
 
Back
Top Bottom