Ninashida na Library Ya Java

Msamiati

R I P
Mar 6, 2011
1,063
697
waungwana kuna system naiweka sawa lakini nimefeli jinsi ya kupata hii library com.cubepro.util.SendMessage nataka kuitumia kufanya Automatic port Detaction msaada tafadhali au hata kama unajua njia nyingine itakayoiwezesha system iditact port ambayo ipo connected na modem
 
Hakuna library hapo ni kwamba umecopy/paste vibaya hiyo code. Ondoa hizo import za com.cubepro, zi replace na method zako za sendMessage na nyingine, tumia ComPortTester kudetect port tu ila function zengine ni juu yako.
 
Ngoja nijaribu bosi theni nitatoa feedback
 
Hakuna library hapo ni kwamba umecopy/paste vibaya hiyo code. Ondoa hizo import za com.cubepro, zi replace na method zako za sendMessage na nyingine, tumia ComPortTester kudetect port tu ila function zengine ni juu yako.

Bosi nashukuru sana kwa msaada wako mungu Umenipa maelezo mazuri mafupi na yanayoeleweka. THANKS
 
Back
Top Bottom