Ninarajia week ijayo kuwashitaki St.Augustino school

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Kiukweli naombeni ushauri ndugu, wamempunguza mwenangu kwa hoja nyepesi Sana, ikizingatiwa wakati wa kujiunga na form one alifaulu kiwango wanachotaka 78 percentage..
Ni kabiti kangu ka kike atii kalichewa siku tatu mwezi wa 6 kurudi shule. Ati issue ya wastani kwamba ana 56 percent kwa hiyo hawezi kwenda form 2, atii huwa hafanyi vizuri home work anazopewa na mwalimu.
Jibu ni nani anapaswa kulaumiwa Mimi ninayetoa million 3 kila mwaka ili mwanangu afike viwango au wao wanaopokea pesa.
Mbaya zaidi WAZIRI NDALICHAKO amewahi kuliongelea hili la upunguzaji wa watoto kwamba lina wadissmoral watoto.

Wakuu naomba ushauri wanipe kiasi gani kwa kumpotezea mtoto wangu muda mrefu shule kwao na kuniambia atii sasa nitafute shule nyingie
 
Mkuu sasa mwanao kama ni kilaza na wewe unatetea ukilaza wake huoni kama unachangia mtoto wako kuzidi kiwa kilaza?

Sasa hutaki kwamba mwanao lafeli?

Mtungie mtihani mfaulishe kwa silimia 100 halafu umdahili kwako.

Shule za bure za serikali si zipo na hakuna kufanya mtihani wa mchujo nadhani ndo kunamfaa mwanao

Mpeleke serikalini atapeta na ukilaza wake mpaka UDOM kwa akina J
 
Mimi ndio nafundisha mtoto mkuu au walimu.
Kama ameweza kufanya interview na akafaulu kwa 78 percent .sasa iweje leo waseme hajafika mipango. Nani anapaswa kulaumiwa
Si hii shule imemfanya mtoto wangu kuwa kilaza
 
Kama unaubavu wa kupambana pambana nao , kama huna uwezo huo tafuta shule nyingine nzuri umhamishe mwanao. Kwa vile ana msingi mzuri ana nafasi nzuri yakufanya vizuri zaidi
 
Kama unaubavu wa kupambana pambana nao , kama huna uwezo huo tafuta shule nyingine nzuri umhamishe mwanao. Kwa vile ana msingi mzuri ana nafasi nzuri yakufanya vizuri zaidi
Wakati nafanya jitihadi za kumhamisha shule nataka pia kupambana nao nione mwisho wa hizi shule za st.
 
wastan wa 78 alipata lin na huo wa 56 amepata lini c unajua kuna kupanda na kushuka Mimi Ntakuja Kuwa Na Shule Yangu Ntakua Na Katiba Yangu Mwanafunzi Usipofikisha Wastan Uliowekwa Ni Kwenda Kwenu Hata Kama Baba Ako Waziri , Kama Wasipoweka Mchujo Watoto Watapimwaje Sasa We Mzaz Mpeleke Mwanao Shule Kama Feza Sheria Zao Pale Co Kama Za Shule Zenu Za Kata Maswala ya gvt kupangia shule za prvt siyapend maana waajiri wanalipa vzr walim wao tena wanawatoa mbali mf kenya , nk alaf uje unipangie wastan nakwambia wazaz kama nyie hamfai kabsa ,,HATUFUGI MBWA ASIYE bweka
 
Mkuu sasa mwanao kama ni kilaza na wewe unatetea ukilaza wake huoni kama unachangia mtoto wako kuzidi kiwa kilaza?

Sasa hutaki kwamba mwanao lafeli?

Mtungie mtihani mfaulishe kwa silimia 100 halafu umdahili kwako.

Shule za bure za serikali si zipo na hakuna kufanya mtihani wa mchujo nadhani ndo kunamfaa mwanao

Mpeleke serikalini atapeta na ukilaza wake mpaka UDOM kwa akina J
udom imekujaje hapa ww gasho
 
Hatapataje shule nzuri wakati ni kilaza
Kama unaubavu wa kupambana pambana nao , kama huna uwezo huo tafuta shule nyingine nzuri umhamishe mwanao. Kwa vile ana msingi mzuri ana nafasi nzuri yakufanya vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom