NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
Kiukweli naombeni ushauri ndugu, wamempunguza mwenangu kwa hoja nyepesi Sana, ikizingatiwa wakati wa kujiunga na form one alifaulu kiwango wanachotaka 78 percentage..
Ni kabiti kangu ka kike atii kalichewa siku tatu mwezi wa 6 kurudi shule. Ati issue ya wastani kwamba ana 56 percent kwa hiyo hawezi kwenda form 2, atii huwa hafanyi vizuri home work anazopewa na mwalimu.
Jibu ni nani anapaswa kulaumiwa Mimi ninayetoa million 3 kila mwaka ili mwanangu afike viwango au wao wanaopokea pesa.
Mbaya zaidi WAZIRI NDALICHAKO amewahi kuliongelea hili la upunguzaji wa watoto kwamba lina wadissmoral watoto.
Wakuu naomba ushauri wanipe kiasi gani kwa kumpotezea mtoto wangu muda mrefu shule kwao na kuniambia atii sasa nitafute shule nyingie