Ninapomwona dada yangu na mwanaume moyo unaanza kuuma.

Mi nilishawah kufokewa laivu na mabroo wa shemeji yenu, almanusura wanichape makofi, sijui wanawazaga nini, bt hata mimi naumiaga kimtindo nikiona kajamaa kanakuja kwa dogo tena mpaka home.

mtapata ugonjwa wa moyo mkiwa vitoto...sasa mchicha umeotea juu ya kaburi...wewe wa kazi gani?

mwanafunzi hujambo?
 
Kwa nn unaumia kama unakula tigo na yeye hivyo hivyo atapigwa tigo kama kawa dawa ni kupoteza tu
 
Ninamuona dada yangu anaujauzito namuangalia sana shemeji yangu..!!
 
Nambie shem wangu.....
Excellent naona anawivu....hivi we ni dada yake?
Nahisi jana kaona kijamaa kinavinjari maeneo ya kwako na dada yake,
Na usiku kakesha na mawazo na hasira mpaka kaleta sred!

BTW una kesi ya kujibu hasa...............!
 
Nahisi jana kaona kijamaa kinavinjari maeneo ya kwako na dada yake,
Na usiku kakesha na mawazo na hasira mpaka kaleta sred!

BTW una kesi ya kujibu hasa...............!
Lol
Nakubali...tafuta hakimu kesi ianze
 
hapo labda akikutana na
mtu ambaye is not matured,halafu hajielewi,but kama anajielewa nadhani
hakuna baya litatokea

Kama hivi ndivyo unavyoamini una sababu gani ya kuhofu kuwa dada zako watatendwa? Naona wewe ni bingwa wa kutenda na kuharibu madada wa wenzio. Mwenye dada hakosi shemeji.
 
mkuu ni kweli unawazo zuri lakini ni hilo tuu au unawaonea wivu vidume wenzako kuwafaidi dada zako?
Habari zenu humu Jamvini.
Mbona mi nikimwona dada yangu au mdogo wangu wa kike na mwanaume/boyfriend wake moyo unauma?yaani nahisi kama atakuja kutendwa au kuharibiwa malengo yake,halafu mi nikifukuzia dada za watu naona iki poa tu,hivi na nye mnaumia mnapoona dada zenu au wadogo zenu wa kike na boyfriend zao?
Halafu nye wadada mkiwaona kaka zenu na girlfriends zao mnawaonea huruma kuhofia watakuja kutendwa?
 
nahisi huwa unapeleka mawazo yako mbali sana afu ukifika huko unaona sio sahihi kwa dadaako
 
sijui kwa nini, mimi nina wadogo zangu wa kiume ilikuwa marafiki zangu wakija hme wanafungulia mbwa au wanawarushia mawe kama amemwona kwa mbali anakuja na wakiniulizia wanasema dada ayupo na usije tena nyumbani kwetu.
 
Back
Top Bottom